Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka wimbo mmoja..aliimba mbongo fleva..nje nje ndani popote kambi weka maskani...bongo ni kama ulaya tuu kama mambo yako swafii.
 
Mara mzungu agonoke umnyonye tigo,mara umuingizie dildo,,akuingizie tena we muhusika yaan ni kuchanganywa kama kachumbariii,mapenzi gani hayoo
mpendwa bado kidogo nitapike nimechefukwaaaaaaaaa!!!!!!!! Ni shida hii na hawa Watu!!!!
 
Dinazarde, Mrembo by Nature, mrskhoory ebu oneni hilo shera jamani, hii ndoa au kipaimara? Na hiyo simu ndo vipi tena? Kumbe mbuta nanga alivyomchamba sawa kabisa, shera la miaka 1914 anavaa mwaka 2014, na apo atakwambia kaagiza uingereza , lucy mshamba jamani khaa, na uo weusi sasa yani beki tatu ana afadhali
viatu umeviona??????? Angevaa na socks Kabisa tujue Moja! Looool
 

Attachments

  • 1411222203681.jpg
    1411222203681.jpg
    50.8 KB · Views: 359
Last edited by a moderator:
Duh, izo kucha ndo mambo ya american nails nini? Vidole sasa kama mchimba maiti, jamani dada lucy au unafanya makusudi unapenda tu watu wakuongelee? Ina maana hata lotion imekushinda khaa, hiyo rangi sasa, Heaven on Earth, Dinazarde, Mrembo by Nature, Heaven Sent, qn of sheba

Mie nahisi binamu cyo bure anatafuta kuongelewa hii Siku jamani ni Mara Moja haijirudi unless anataka kuwa Kama bi Dada ndoa Tatu khaa jamnii ni shider queen Elizabeth inahitajika
 
Last edited by a moderator:
Mie nahisi binamu cyo bure anatafuta kuongelewa hii Siku jamani ni Mara Moja haijirudi unless anataka kuwa Kama bi Dada ndoa Tatu khaa jamnii ni shider queen Elizabeth inahitajika

Ana makusudi kwa kweli, mi ntamtumia queen elizabeth kama zawadi ya harusi
 
Lucy mbona kawa limbukeni ghafla!!! Yani utadhani yeye ndo wa kwanza kuolewa eeeh tena na mzungu
 
hahaha mwacheni muke ya muzungu jamani khaaa

Aaaah kazidi bana. Utadhani yeye ndo wa kwanza kuolewa. Ingekuwa walioolewa wote wanarusha madongo hivyo na kujishaua, kina mwafulani tungekoma. Kufunga ndoa imepita, kazi kuiishi hiyo ndoa. Atulie tu na mumewe huko.
 
halafu mama mzungu anajidai kumtetea bekitatu mwenzie kumbe cha moto wanakiona.
mama mzungu amefanya mabinti wengi wa tz waone wazungu ni kila kitu ILA sio. Wazungu wana mtindo wa maisha wa tofauti sana. Hata tigo penda isipende itatoka tu. Imagine pastor kabisa anasema Mungu hakuspecify ni tundu gani litumike kwenye 6 kwa 6 so matundu yote sawa tu
 
yaani anaboa sijui hakutegemea.halafu mama mzungu anamtete ati cyberbullying watu wanamwonea.kama adsingetaka kuonewa angefanya kimyakimya.tena mama mzungu yeye ndo cyber bully number one.anapowatukqna watoto wa wenzake lwenye blog yake haoni kama anawaumiza wenzake sijui.yaani yeye ndo mwalimu wa macyber bully.na bado atauza mpaka vijiko mwaka huuQUOTE=Heaven Sent;10655108]Aaaah kazidi bana. Utadhani yeye ndo wa kwanza kuolewa. Ingekuwa walioolewa wote wanarusha madongo hivyo na kujishaua, kina mwafulani tungekoma. Kufunga ndoa imepita, kazi kuiishi hiyo ndoa. Atulie tu na mumewe huko.[/QUOTE]
 
Aangalie manake akiwa na mtoto na raia itakuwa automatic ILA ndoa tu ni hadi miaka kadhaa ndio unapata permanent residence then ndo uje kuomba passport Yao aka kuukana uraia wa tz. Waxungu siku hizi anakaa na wewe ndani ya ndoa ikikaribia muda wa kupata makaratasi au permanent residence ana file divorce then work done inakiwa zero kama huna kazi inabidi urudi kwenu..kama Una kazi basi utaishi tu kqma raia wa kigeni ukitimiza masharti na no papers aka permanent au passport nyekundu. Lucy watch out coz waxungu wamejua shida ya wabongo ni makaratasi so muda wa makaratasi ukifika anafanya kusudi tu muachane na hapo karatasi hakuna.

Lucy anadhani just ndoa then unapata citizenship hajui kuna process na ndefu sana kwanza some countries like denmark wanataka usome na upasi lugha yao kwanza ...then upate permanent resident permit hiyo itakuwa kama 3yrs .....so sweet heart lucy utangoja sana na uwe mvumilivu
 
kokuhilwa me naamini lucy angenyamaza kimya haya yote yasingemkuta. Anajiharibia mwenyewe kwa kupiga watu madongo, hajui kama kuna watu kuwachamba watu wengine huko insta n.k ndo ajira yao. At the end of the day anajiharibia tu heshima yake aliyoijenga miaka mingi tu. Acha watu waseme, kwani maneno kitu gani? Afu siku hizi maneno hadi kwenye keki mbona. Anaact as if hakutegemea kuolewa au kaolewa ili kuwafunga watu midomo eeeh
 
Last edited by a moderator:
Binamu na wewe mpana, we ushaambiwa wazungu mapenzi yao ya ajabu, ayo mengine mwachie binamu yangu bhana

Kulikoni leo? Wino wa blue umeisha nini??

Haujaisha ila nikiwa kwenye kisimu sina option ya wino ....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom