Lucy komba this is too much bhana

Lucy komba this is too much bhana

Nyie wanawake ndio mnawaharibu wenzenu unajuaje kama alipendewa huo uvaaji? sasa unataka kulazimisha mambo yasio style take..
 
Muulize warumi mbona tulicheka sanaa
Aaah dah nakumbuka alikua kamechisha mwenyewe kiatu chake cha kipaimara skuna za miaka 47 na Samsung yake nyeupe kaibeba juu tuione, jaman Lucy alijua kutuvunja mbavu, Mara ghafla tukasikia wametumbukia kwenye maji na baby wake, dah tulivunjika Mbavu aiseeh
 
Hahahahah yaan nahidi ulicheka kidogo ufeee weeee mim nilizimiaa
 
dem ni mshamba aliyepitiliza yani,halafu kolewa na yule mzungu chizi akaona kama vile anapelekwa mbinguni.kumbe hajui wazungu hawa ulaya huku washashindikana ndio wanakuja kuchukua vimeo huko Afrika.
Demu akiolewa na mzungu anakua na dream nyiiingi kwamba kayatoa maisha sasa ni kula bata kumbe wangjua life ya Europe wangekataa moja kwa moja .
 
Warumi badilisha mwisho umeandika "unaniangusha na mavuzi au ulimanisha mavazi "[emoji102][emoji102][emoji102]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi nilijua lile gauni lako la kipaimara ulilovaa kwenye harusi yako ilikua bahati mbaya kumbe ndo fashion zako, Lucy ni muigizaji mzuri sana na anajiheshimu ila huwa unaniangusha kwenye mavazi tu, ebu jaribu kwenda na wakati bhana, mtu umeolewa nchi za watu na pesa unazo ila unavaa kama mabeki tatu wa mbagala, yani unaniangushaga hapo tu, na sura imepauka kama umemwagiwa debe la unga, nguo unavaa za kishamba utadhani sio staa, badilika bhana tafuta wataalamu wa make up wakupake vzur, huo wanja wako kama ulipakwa na wachawi yani unatisha badilika aiseeh, sina bifu na wewe but unaniangusha sana na mavazi yakoView attachment 401439
mbona yuko poa tu???
warumi kwa michambo ni hatare
 
Aaah dah nakumbuka alikua kamechisha mwenyewe kiatu chake cha kipaimara skuna za miaka 47 na Samsung yake nyeupe kaibeba juu tuione, jaman Lucy alijua kutuvunja mbavu, Mara ghafla tukasikia wametumbukia kwenye maji na baby wake, dah tulivunjika Mbavu aiseeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaaa.... Warumi wee ni shedaaa
Aaah dah nakumbuka alikua kamechisha mwenyewe kiatu chake cha kipaimara skuna za miaka 47 na Samsung yake nyeupe kaibeba juu tuione, jaman Lucy alijua kutuvunja mbavu, Mara ghafla tukasikia wametumbukia kwenye maji na baby wake, dah tulivunjika Mbavu aiseeh
.
 
Back
Top Bottom