Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha haMuulize warumi mbona tulicheka sanaa
Aaah dah nakumbuka alikua kamechisha mwenyewe kiatu chake cha kipaimara skuna za miaka 47 na Samsung yake nyeupe kaibeba juu tuione, jaman Lucy alijua kutuvunja mbavu, Mara ghafla tukasikia wametumbukia kwenye maji na baby wake, dah tulivunjika Mbavu aiseehMuulize warumi mbona tulicheka sanaa
Hahahahah yaan nahidi ulicheka kidogo ufeee weeee mim nilizimiaaAaah dah nakumbuka alikua kamechisha mwenyewe kiatu chake cha kipaimara skuna za miaka 47 na Samsung yake nyeupe kaibeba juu tuione, jaman Lucy alijua kutuvunja mbavu, Mara ghafla tukasikia wametumbukia kwenye maji na baby wake, dah tulivunjika Mbavu aiseeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Warumi badilisha mwisho umeandika "unaniangusha na mavuzi au ulimanisha mavazi "[emoji102][emoji102][emoji102]
Sijakuona kitamboWanja kama amepakwa na wachawi uwiiiii Mayo Nene kha nimecheka sana......
Nipo nimejaa tele.................Sijakuona kitambo
mbona yuko poa tu???Mi nilijua lile gauni lako la kipaimara ulilovaa kwenye harusi yako ilikua bahati mbaya kumbe ndo fashion zako, Lucy ni muigizaji mzuri sana na anajiheshimu ila huwa unaniangusha kwenye mavazi tu, ebu jaribu kwenda na wakati bhana, mtu umeolewa nchi za watu na pesa unazo ila unavaa kama mabeki tatu wa mbagala, yani unaniangushaga hapo tu, na sura imepauka kama umemwagiwa debe la unga, nguo unavaa za kishamba utadhani sio staa, badilika bhana tafuta wataalamu wa make up wakupake vzur, huo wanja wako kama ulipakwa na wachawi yani unatisha badilika aiseeh, sina bifu na wewe but unaniangusha sana na mavazi yakoView attachment 401439
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah dah nakumbuka alikua kamechisha mwenyewe kiatu chake cha kipaimara skuna za miaka 47 na Samsung yake nyeupe kaibeba juu tuione, jaman Lucy alijua kutuvunja mbavu, Mara ghafla tukasikia wametumbukia kwenye maji na baby wake, dah tulivunjika Mbavu aiseeh
Dah..jamani beauty is on theHa ha ha na kibabu chake kama ki mwanasesele
.Aaah dah nakumbuka alikua kamechisha mwenyewe kiatu chake cha kipaimara skuna za miaka 47 na Samsung yake nyeupe kaibeba juu tuione, jaman Lucy alijua kutuvunja mbavu, Mara ghafla tukasikia wametumbukia kwenye maji na baby wake, dah tulivunjika Mbavu aiseeh