Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Niko sebuleni kwangu baada ya kuangalia channel makini nimejikuta tu leo kwa mara ya kwanza wacha niiangalie hii clouds tv.
Kwanza kabisa nakutana na Tamasha la Serengeti Fiesta sijui ni la mwaka gani kwa sababu mimi huwa sina mpango na Fiesta sijui ila siyo live na msanii anayeperform ni Luda Criss.
Kilichonifanya nifunguwe uzi huu ni kuhoji kweli mtu asafiri kutoka Marekani yeye na Dj wake na mpambe wake kuja Tanzania kuimba plyback za cd!? No way hu ni wizi wa kimachomacho.
Binafsi sijui hili ni Tamasha la lini ila kama kuna aliyehudhuria aje kutia ushuhuda hapa ni heri wangealikwa Ngwasuma pale wangekonga nyoyo za vijana.
My testimony: Nimehudhuria show ya Michael Jackson kwenye Tour yake ya History Cape Town South mwaka 1998 kama sikosei bado sijaona tena show kama ile maishani mwangu mambo ni live on the stage na Wacko Jacko unamuona kabisa amejiandaa zaidi ya mwaka na anamaanisha alikuja kwa ajili ya show tu.
Show ya pili ni Janeth Jackson na show ya 3 ni Joe Thomas na Keith sweet walifanya kwa pamoja watu hawa hawakuwahi kunidisappoint.
Kwa upande wa Wacongo ni Wenge Musica 4 x 4 chini ya Jibe walipiga show ya kufa mtu Abijan cote de vour I will never forget this.
Bado sijaelewa mantiki ya kuwaleta hawa wahuni wa New York ambao kazi yao ni kubwabwaja tu jukwaani sawa na Adam mchovu.
C.T.U kama uliiona hii show hebu lete analysis zako. Maana nimediriki kufikia conclusion kwamba Diamond na madansa wake anaweza akaniburudisha na nikaridhika kuliko huyu Luda criss wa Platinum 5.
Au huwa wanadharau show za nchi kama yetu hivyo hawajiandai ipasavyo?

Last edited by a moderator: