Luda criss huu ni wizi wa pesa za Watanzania maskini, tabia hii haikubalikim

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Niko sebuleni kwangu baada ya kuangalia channel makini nimejikuta tu leo kwa mara ya kwanza wacha niiangalie hii clouds tv.

Kwanza kabisa nakutana na Tamasha la Serengeti Fiesta sijui ni la mwaka gani kwa sababu mimi huwa sina mpango na Fiesta sijui ila siyo live na msanii anayeperform ni Luda Criss.

Kilichonifanya nifunguwe uzi huu ni kuhoji kweli mtu asafiri kutoka Marekani yeye na Dj wake na mpambe wake kuja Tanzania kuimba plyback za cd!? No way hu ni wizi wa kimachomacho.

Binafsi sijui hili ni Tamasha la lini ila kama kuna aliyehudhuria aje kutia ushuhuda hapa ni heri wangealikwa Ngwasuma pale wangekonga nyoyo za vijana.

My testimony: Nimehudhuria show ya Michael Jackson kwenye Tour yake ya History Cape Town South mwaka 1998 kama sikosei bado sijaona tena show kama ile maishani mwangu mambo ni live on the stage na Wacko Jacko unamuona kabisa amejiandaa zaidi ya mwaka na anamaanisha alikuja kwa ajili ya show tu.

Show ya pili ni Janeth Jackson na show ya 3 ni Joe Thomas na Keith sweet walifanya kwa pamoja watu hawa hawakuwahi kunidisappoint.

Kwa upande wa Wacongo ni Wenge Musica 4 x 4 chini ya Jibe walipiga show ya kufa mtu Abijan cote de vour I will never forget this.

Bado sijaelewa mantiki ya kuwaleta hawa wahuni wa New York ambao kazi yao ni kubwabwaja tu jukwaani sawa na Adam mchovu.
C.T.U kama uliiona hii show hebu lete analysis zako. Maana nimediriki kufikia conclusion kwamba Diamond na madansa wake anaweza akaniburudisha na nikaridhika kuliko huyu Luda criss wa Platinum 5.

Au huwa wanadharau show za nchi kama yetu hivyo hawajiandai ipasavyo?
 
Last edited by a moderator:
nakuunga mkono mkuu mimi mwenyewe imenibidi nabadilishe channel. hiyo ni fiesta 2011 utumbo mtupu unafanywa na Ludacris
 
Nilidhani labda ni mimi ndio nimepitwa na wakati!!

Sasa inakuwaje waandaaji bado wanaendelea kuwaleta hawa wavuta bangi wa New York?

Show ya Mwisho ya Bongo fleva mimi kuhudhuria lilikuwa Tamasha la Anti virus pale kwenye viwanja vya Ushirika, Sugu aliimba exactly nyimbo zake zote kwa ufasaha na kwa pumzi ya kutosha kabisa na hasa ule wimbo wake wa Mambo ya fedha aliperform to the maximum licha ya Jay dee kutokuwepo siku ile kugonga ile chorus yake.

Nadhani ni muda wa wadau kujitambuwa sasa na kwenda na mayai viza anayevurunda laxima kinuke.

Haiwezekani mtu kama Luda Criss aje kuchukuwa pesa za watu maskini kimzahamzaha namna hii.
 
Wabongo tubadilike maana nahisi hawa wasanii hupewa hela ya kuonyesha sura zao tu maana huko kwao wanapiga show za maana hata kama wanatumia play back.
Ile Luda kilichonikera zaidi ni kuacha kuimba na kuanza kurekodi mwenyewe jinsi watu walivyokuwa wanamshangilia tu!!
Alafu tuna ulimbukeni wa ajabu hawa wasanii wa nje wakisema "I love Tanzania" tunamshangilia utadhani kamaanishaaa sijui mnadhani anaweza kusema I hate Tanzania!!
 
Niko sebuleni kwangu baada ya kuangalia channel makini nimejikuta tu leo kwa mara ya kwanza wacha niiangalie hii clouds tv.

Kwanza kabisa nakutana na Tamasha la Serengeti Fiesta sijui ni la mwaka gani kwa sababu mimi huwa sina mpango na Fiesta sijui ila siyo live na msanii anayeperform ni Luda Criss.

Kilichonifanya nifunguwe uzi huu ni kuhoji kweli mtu asafiri kutoka Marekani yeye na Dj wake na mpambe wake kuja Tanzania kuimba plyback za cd!? No way hu ni wizi wa kimachomacho.

Binafsi sijui hili ni Tamasha la lini ila kama kuna aliyehudhuria aje kutia ushuhuda hapa ni heri wangealikwa Ngwasuma pale wangekonga nyoyo za vijana.

My testimony: Nimehudhuria show ya Michael Jackson kwenye Tour yake ya History Cape Town South mwaka 1998 kama sikosei bado sijaona tena show kama ile maishani mwangu mambo ni live on the stage na Wacko Jacko unamuona kabisa amejiandaa zaidi ya mwaka na anamaanisha alikuja kwa ajili ya show tu.

Show ya pili ni Janeth Jackson na show ya 3 ni Joe Thomas na Keith sweet walifanya kwa pamoja watu hawa hawakuwahi kunidisappoint.

Kwa upande wa Wacongo ni Wenge Musica 4 x 4 chini ya Jibe walipiga show ya kufa mtu Abijan cote de vour I will never forget this.

Bado sijaelewa mantiki ya kuwaleta hawa wahuni wa New York ambao kazi yao ni kubwabwaja tu jukwaani sawa na Adam mchovu.
C.T.U kama uliiona hii show hebu lete analysis zako. Maana nimediriki kufikia conclusion kwamba Diamond na madansa wake anaweza akaniburudisha na nikaridhika kuliko huyu Luda criss wa Platinum 5.

Au huwa wanadharau show za nchi kama yetu hivyo hawajiandai ipasavyo?
Kweli hujakosea kuwaita wahuni wa NY . Show ilikuwa ni utumbo usiolika
 
Wabongo tubadilike maana nahisi hawa wasanii hupewa hela ya kuonyesha sura zao tu maana huko kwao wanapiga show za maana hata kama wanatumia play back.
Ile Luda kilichonikera zaidi ni kuacha kuimba na kuanza kurekodi mwenyewe jinsi watu walivyokuwa wanamshangilia tu!!
Alafu tuna ulimbukeni wa ajabu hawa wasanii wa nje wakisema "I love Tanzania" tunamshangilia utadhani kamaanishaaa sijui mnadhani anaweza kusema I hate Tanzania!!

Unashangaa nini kwani wanamziki wetu wanafanya nini..?sasa kama ameambiwa tanzanian excited to see you not to hear what your singing wizi wake uko wapi..?kwanini apoteze nguvu zake wakati wanaomsikiliza hawamuelewi...
 
Ngwasuma ,kuna Akudo na Mashujaa na Twanga Pepeta unapigiwa Live roho inasuuzika ..:A S-confused1:
 
Mkuu Matola naweza kuwatetea Clouds kwa njia moja au nyingine Clouds kama Clouds wao ni wafanyabiashara ambao chochote wanachokifanya wana aim profit ... japokuwa mie binafsi sikwenda kwenye ile Tamasha ila naweza kubashiri kuwa kiingilio hakikuzidi 30,000 hiyo ni sawa sana na kama $24 kama niko right......
okay umemleta ludacris kwa lets say $80,000 bado malazi na chakula wa yeye na timu yake bado usafiri wa yeye na timu yake

wao clouds wako pale kwa ajili ya kutengeneza pesa sio kwa ajili ya kuwapa burudani ila wanatengeneza pesa kwa mgongo eti tunawapa burudani...
mjini hapa mjinga ndio......... malizia

sasa basi akisema kuwa apige live music jua kabisa kuna cost ambazo hazina gharama ambazo huongezeka ikumbukwe kuna kitu kinachoitwa reheasal lazima ifanyike kama ni band na ile back vocal and everything inatakiwa itoke kwetu basi luda anatakiwa aje wiki moja mbele au mbili kwa ajili ya mazoezi ya kuimba na band hiyo ili apige live....

gharama itaongezeka...

vile vile wale watu ambao wata perform nae lazima walipwe siku ile wanaperform lazima walipwe na posho kwa kila siku wanayo perform...

stage lazima iandaliwe ( si tunataka kitu cha kimataifa) ...bongo hatuna big stages ambayo itafaa kwa aina ya show ambayo umezoea kuiona pale stappes rihana akiwa ana perform

clouds wanaweza kufanya yote hayo kulipia kila kitu hata kuagiza stage ya nje na kufanya kitu ambacho hakijawahi tokea ila swali ni hili

wakiweka kiingilio $60 watu watajaa?? watarudisha pesa waliyoiwekeza?? au wawaletee ludacris acheze playback watu wafurahi kumuona ludacris huki mmemwachia kusaga elfu 30,000 getini

hayo mambo wanaweza wazungu bwana....

na ninafikiri kuwa haya mambo yanakwenda na kipato cha watu katika nchi husika....

Luda akienda Japan au Uk sidhani kama atacharge $80,000 atacharge hata $200,000

na kiingilio kinaweza kuwa hata $40 na watu wakajaa na performance ikawa ni nzuri na akapiga LIVE
kwa sababu nchi hizo zinafaa conditions ambazo msanii anayetakiwa kupiga live anatakiwa awe nazo na kuzifuata sio Tanzania hasa kina promota wakiwa kina RUGEMALILA
 
Last edited by a moderator:
Watu wanawalaumu kwanini wasanii wa kibongo hawapigi LIVE ni kwa sababu mziki wetu haujakuwa kihivyo kupiga live
kwanini?

hata kama wewe ni msanii kwa hali hii utapiga live kweli? thubutu
ona

msanii analipwa laki nane na promota .. aje atumbuize kimanzichana.. kweli utatafuta mtu wa kukupigia ngoma, gitaa, bass kwa hiyo laki nane??
kweli??

wakati wewe mziki ndio unaendeshea maisha yako??

aaah wapi ni mwendo wa playback kwa kwenda mbele

mpaka hapo watakapolipa 50 mill per show

kwani hiyo kazi ya kupiga band waliiweza kina gurumo kipindi kile mpaka anastaafu hata hata baiskeli

kisa kupiga live huku mnalipwa laki 5
 
Mkuu LIVE ya Hiphop na R&B haihitaji bendi kama vile kwaya.
LIVE za hawa watu zinamuhitaji zaidi DJ atakaekuwa anapiga CD yenye Instrumental ya wimbo husika kisha msanii anapita juu yake...thats all
 
Watu wanawalaumu kwanini wasanii wa kibongo hawapigi LIVE ni kwa sababu mziki wetu haujakuwa kihivyo kupiga live
kwanini?

hata kama wewe ni msanii kwa hali hii utapiga live kweli? thubutu
ona

msanii analipwa laki nane na promota .. aje atumbuize kimanzichana.. kweli utatafuta mtu wa kukupigia ngoma, gitaa, bass kwa hiyo laki nane??
kweli??

wakati wewe mziki ndio unaendeshea maisha yako??

aaah wapi ni mwendo wa playback kwa kwenda mbele

mpaka hapo watakapolipa 50 mill per show

kwani hiyo kazi ya kupiga band waliiweza kina gurumo kipindi kile mpaka anastaafu hata hata baiskeli

kisa kupiga live huku mnalipwa laki 5

Rejea show bora ya hiphop Duniani yaani Up In Smoke Tour...
DJ Jam alikuwa anasugua CD huku Dre na Snoop wakipita mlemle...dah ishu mpaka leo siichoki
 
Back
Top Bottom