Ludisha heshima ya ndo mwanangu hapa

Ludisha heshima ya ndo mwanangu hapa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Leo nimeamua nije ya maada ya kufa mtu yaan ya kukata na shoka


Heshima ya mwanaume ni kupiga pu:mbu kweli kweli siyo lege lege tu mwishowe wanawake zetu wanatusalit hovyo hovyo

Twende pamoja mtu wangu usikosee hata kitu kimoja hakika mkeo au demu wako hatatoka tena nje ya ndoa

EBHANA EEE

TUMIA TENDE hapa kwenye tende tumia juis ya tende safi kabisa iliyo sagwa na kuchujwa fresh kwa utundu wa hali ya hatar sana , hii juic ya tende haina mazara mwilin kwa sababu yenyewe ni kitu asili,
Ukitumia juic hii lazima demu akukome mwana wane


TUMIA TIKITI MAJI mwana wane nakwambia hivi hapa kwenye tikiti maji kula had maganda yake pamoja na zile mbegu zake wala usihangaike kusubili zikauke au kusaga. Yaan hapa gonga hivo hivo wewe hakikisha tu tikiti lako umeliosha fresh lile lote tafuna taafuna lote mwana mwane


BADO TUNAENDELEA YAAN LAZIMA LEO LAZIMA TUWEKE HESHIMA YA NDOA

TUMIA KAROT ebhana ee yaan kitu kinachoitwa karot ni nouma mazee tafuna karot japo kilo moja kwa siku lazima demu akubali ukikutana naye ukipenda saga unywe kama juice

.ACHANA NA VUMBI LA KONGO NA VIDONGE MWANANGU hivo vitu vinamaliza nguvu pasipo wewe kujua acha kabisa kutumia hivyo vitu

Kama ushawah kutumia vidonge ukimaliza lazima ngosha huwa anauma hasa misul yake kwahiyo vidonge sio mambo mtu

Tumia sana karot mwanangu hasa kwa wanangu wenye vibamia karot hukuza kile kitu na kuwa kikubwa kama hogo

Ngoja kwa leo niishie hapo tukutane tena siku nyingine

LAZIMA LEO MADEMU WATUKOME MWANAWANE

LONDON BABY
 
Unawaambia wanaume wa dar au wanaume gan unawapa taarifa hiyo mkuu,mm napita tu lkn usisahau soko maaruf dunian la nguv za kiume kuw lipo dar
 
Hivi una tafasiri movie au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unawaambia wanaume wa dar au wanaume gan unawapa taarifa hiyo mkuu,mm napita tu lkn usisahau soko maaruf dunian la nguv za kiume kuw lipo dar
Wanaume wote mkuu awe wa dar au wa mikoan wote wakuje hapa
 
Nikifunguaga uzi niusome nkakuta mwansishi ni wewe , basisiendeleagi hata kuusoma huwaga naachana nao na kuendelea kusoma nyuzi zingine maana una nondo za ukweli, nakukubali sana mkuu
 
Nikifunguaga uzi niusome nkakuta mwansishi ni wewe , basisiendeleagi hata kuusoma huwaga naachana nao na kuendelea kusoma nyuzi zingine maana una nondo za ukweli, nakukubali sana mkuu
Haaaaa umetisha mkuu
 
f6286285a1b5ce8fa5753817c0b793ca.jpg


[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hii vipi mkuu?
 
Back
Top Bottom