Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
TumbocracyNi Tanzania tu ndio tunaongozwa na watu wa ovyo ovyo
Wenye kujali matumbo yao kupitia Migongo ya watu masikin.
Wabunge wanalipa kodi kutoka kwenye mshahara wao ambao ni mil 4 na ushee,ila hawalipi kodi kwenye maposho yao wanayopata ambapo ndiyo wanapata pesa nyingi huko,karibu mil 7 na ushee,sababu wanayotoa ni kuwa eti kazi yao ni ya mkataba wa miaka 5.
... hii kitu inawatia doa sana sema mshipa wa aibu hawana! Ngoja niwape trick rahisi sana namna ya kuondokana na aibu hii; wa-double mshahara yao halafu wakatwe kodi; kwanza watakuwa kipato kizuri kuliko ilivyo sasa na pili kashfa ya kukwepa kodi itakuwa imeondoka automatically.CAG Mstaafu, Ludovic Uttoh amesema hakuna sababu za kwanini Wabunge wa #Tanzania hawalipi Kodi licha ya kwamba wana Mishahara kama walivyo Watumishi wengine wanaokatwa Kodi
Uttoh amesema "Siku zote msingi wa Kodi ni Usawa na wala kodi haitakiwi kuwa na Matabaka. Ikiwa tunasema tunalipa Kodi kwa maendeleo ya Nchi ni kwanini Wabunge hawakatwi?"
Akieleza zaidi, amesema hafahamu kama kuna Nchi nyingine Duniani ambayo Wabunge wake hawalipi kodi. Kwanza logic ya kufanya hivyo haipo".
Sasa utashindwaje kuongozwa na watu wa hovyo kama wewe mwananchi hujitambui!!Ni Tanzania tu ndio tunaongozwa na watu wa ovyo ovyo.
Wenye kujali matumbo yao kupitia Migongo ya watu masikin.
... wabunge sio wa kwanza kuwa na kazi za mikataba nchini na duniani! Nchi nyingine uwakilishi ni miaka minne minne na kodi wanalipa. Nchini hapa kuna wenye kazi za mikataba ya mwaka kodi wanalipa sembuse miaka mitano na mishahara, posho, mamikopo, viinua mgongo vya kufuru!Wabunge wanalipa kodi kutoka kwenye mshahara wao ambao ni mil 4 na ushee,ila hawalipi kodi kwenye maposho yao wanayopata ambapo ndiyo wanapata pesa nyingi huko,karibu mil 7 na ushee,sababu wanayotoa ni kuwa eti kazi yao ni ya mkataba wa miaka 5.
Kwa maana hiyo na wafanyakazi wenye mikataba ya muda maalum kama miaka mitano na kushuka nao wasilipe kodi? Na marupurupu wanayopewa kwa nini hayajumlishwi kwenye mapato yao kama ilivyo kwa watumishi wengine na kisha kukatwa kodi?Wabunge wanalipa kodi kutoka kwenye mshahara wao ambao ni mil 4 na ushee,ila hawalipi kodi kwenye maposho yao wanayopata ambapo ndiyo wanapata pesa nyingi huko,karibu mil 7 na ushee,sababu wanayotoa ni kuwa eti kazi yao ni ya mkataba wa miaka 5.
Mkuu tujadili mada!!Kifupi uchumi umedolola zaidi
Huyu si ndo alikuwa CAG.CAG Mstaafu, Ludovic Uttoh amesema hakuna sababu za kwanini Wabunge wa #Tanzania hawalipi Kodi licha ya kwamba wana Mishahara kama walivyo Watumishi wengine wanaokatwa Kodi