Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy

To be heard is a natural right. It’s one side of the story. Kama msomi naomba Ufahamu Hilo. Upo hapa kwa kuwa huyo Nyerere na wenzake wametufanya Hivi tulivyo. Amefanya pake. Na Sisi tufanye yetu. Wakati wake ulikuwa tofauti. Mwanzo. Imagine kuongoza familia ilivyo na changamoto and sembuse nchi.
 
Mkuu ni kwamba haumini asemacho ama hutaki ukweli wake?
 
Mkuu ni kwamba haumini asemacho ama hutaki ukweli wake?
Nina umri mkubwa na mengi nimeyaona. Sisubiri kuamdikiwa na Ludovick Mwijage. Ametumia tu haki yake ya kujieleza
 
Nina umri mkubwa na mengi nimeyaona. Sisubiri kuamdikiwa na Ludovick Mwijage. Ametumia tu haki yake ya kujieleza
Ni kweli husibiri kuandikiwa na Ludovic, lakini haimanishi alichoandika ni uongo. Labda useme unajua mengi kuhusu Nyerere, kitu ambacho hakipunguzi ukweli wa Ludovic.
 
Ni kweli husibiri kuandikiwa na Ludovic, lakini haimanishi alichoandika ni uongo. Labda useme unajua mengi kuhusu Nyerere, kitu ambacho hakipunguzi ukweli wa Ludovic.
Chuki tu kwa Baba wa Taifa
 
Huyu Mzee JULIUS alikuwa anatisha kumbe hata Yule Mchawi Sheik Yahaya Alikuwa TIS kazi kweli kweli !!!!!!
Baada kusoma kitabu nimegundua wa kwanza kumuuza ludovic mwijage alikuwa sheikh yahya ndio kusema alikuwa agent wa TIS
 
Duu huyu ndio Nyerere !
 
Nimesoma kitabu chote

Nilikuwa naamini Nyerere alikuwa ni mshenzi, ila hiki kitabu kimenithibitishia sio tu alikuwa ni mshenzi bali pia ni mnyama na katili, pia kuongezea upumbavu wake uliotutia umasikini.
 
After staring at the portrait for a while, I realised that Nyerere and Hitler had similar moustaches.
 
Kwa Nyerere ndiko kulikoanzia wasiojulikana na watu kupotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…