Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Aliyekuwa CAG, Ludovick Utoh amesema kuna mawaziri 8 waliachia ngazi katika awamu ya nne kutokana na ripoti za CAG. Amesema alipokuwa CAG walifanikiwa kuonesha fedha za EPA na mapendekezo yalitekelezwa japo mengine hayakutekelezwa.
Kwa miaka ya hivi karibuni hakukuwa na scandal kubwa kama za EPA na ESCROW ambayo yaliwahi kutokea katika wakati wake.
Aidha amesema yanayoandikwa kwenye ripoti za CAG sio wizi bali ni viashiria, kwa kuwa ili kusema wizi, ni lazima uchunguzi ufanyike.