Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hkn anayechafuliwa kama hukufuata taratibu ni wewe usiyefuata taratibu ndiyo umejichafua. Mfano Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma wamechimba kisima cha 300m wakakitelekeza ni nani amewachafua hapo kama si wao wenyewe kujichafua?Wahuni wamebeba audit findings ambazo nyingine ni makosa ya kihasibu, kuchelewa vithibitisho, kutoa maelezo na kuanza kuchafua watu makusudi! Tuhuma zitakuwepo tu lakini kinachoendelea sasa ni siasa tu.
Nawe Benjamini kapumzike. Mwenzako kule Izrael keshapumzikaHuyu naye apumzike tulishamchoka