Ludovick Utouh: Utekelezaji wa mapendekezo ya CAG hauridhiishi, uko chini ya asilimia 40

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh, amesema utekelezaji wa mapendekezo yanayotokana na ukaguzi wa CAG bado hauridhishi, huku kiwango cha utekelezaji kikiwa chini ya asilimia 40.

Utouh amezitaka taasisi za umma na maafisa masuuli kuacha kutumia nguvu kubishia hoja za ukaguzi na badala yake kuzuia hoja hizo zisijitokeze, akisema hatua hiyo ni muhimu katika kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Who are you? Who cares?
 
Back
Top Bottom