Lugalo walambishwa asali

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Shilingi Bilioni 4.4 zimetolewa na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya miradi ya ujenzi Lugalo, pia zaidi ya Bilioni 4.8 kwa utekelezaji wa miradi ya afya kwenye Idara nyingine za Ulinzi na Usalama ikiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza.

 
Bila ya uimara wa Lugalo sasa hivi ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kongwa kingekuwa kimeshaanza

acheni walambe asali
 
Samia ndo katoa hiyo fedha au serikali ndiyo imetoa????acha uchawa kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…