Lugete Gulu: Ukitaka kumuenzi Baba wa taifa usiwe na tamaa

Lugete Gulu: Ukitaka kumuenzi Baba wa taifa usiwe na tamaa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Lugete Gulu ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa amewakumbusha viongozi kuacha tamaa ya madaraka huku akibainisha kuwa wapo viongozi wanaomiliki rasilimali nyingi kuliko vipato vyao, ameyasema wakati akizungumza na Clouds Tv katika mjadala wa kumbukizi ya baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere oktoba 14, 2025.

Kumbuka wakati tukielekea Oktoba 29 kwenye Uchaguzi Mkuu, fyucha ya Tanzania iko mikononi mwako kwa kuhakikisha unashiriki kwa kujitokeza kupiga kura au unaandamana.
 
Back
Top Bottom