Lugha chafu kwa wanandoa

Lugha chafu kwa wanandoa

Jaman ndoa hz me nimeshuhudia mume anamwambia mkewe" nilipoteza mamilion wakati unaumwa mbwa we" mwanamke akajibu nilikuomba.Baada ya kujibu mke akazimia. Busara yahitajika sana.
 
Back
Top Bottom