Hahahaha hawa jamaa huwa wanasema haluaaaa.....haluaaaaa....halua madrid......halua Aguero....Wadau wenzangu wa soccer hivi mkiwa mnaangalia mpira kwenye Televisheni zenu iwe ni EPL,La Liga,Champions League ama ligi yoyote ya majuu ni lugha gani unayovutiwa nao ikitumiwa na commentator.
Mimi binafsi huwa napendelea utangazaji kwa lugha ya kiarabu na zile mbwembe mbwembe zao yaani nabaki nafurahi sana...zamani nilikua navutiwa na jamaa aliekuwa anaitwa John Champion ingawa siku hizi simsikii sana..
Daah leo Man City hawatokiElo Rinaldo,el Bale herua heruaaaaaa
Gooooooooooooooooooooo
Bein sport
Daah leo Man City hawatoki
English, kuna maneno matamu sana hasa ukikutana na mtangazaji huyu Rob Hawthorne, aliinogesha sana fainali ya Uefa mwaka 2005 kati ya Liverpool na AC Milan