Lugha gani inakuvutia katika commentary za soccer?

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
451
Wadau wenzangu wa soccer hivi mkiwa mnaangalia mpira kwenye Televisheni zenu iwe ni EPL,La Liga,Champions League ama ligi yoyote ya majuu ni lugha gani unayovutiwa nao ikitumiwa na commentator.

Mimi binafsi huwa napendelea utangazaji kwa lugha ya kiarabu na zile mbwembe mbwembe zao yaani nabaki nafurahi sana...zamani nilikua navutiwa na jamaa aliekuwa anaitwa John Champion ingawa siku hizi simsikii sana..
 
English, kuna maneno matamu sana hasa ukikutana na mtangazaji huyu Rob Hawthorne, aliinogesha sana fainali ya Uefa mwaka 2005 kati ya Liverpool na AC Milan
 
Hahahaha hawa jamaa huwa wanasema haluaaaa.....haluaaaaa....halua madrid......halua Aguero....
 
Hakuna kama watangazaji waarabu ktk hii dunia ni raaha kwenda mbele....wapo wawili huwa wananifanya niupende mpira hata kama si fan wa hiyo mechi...RAUF KHLEIF , SHAWAL nk...
 
English, kuna maneno matamu sana hasa ukikutana na mtangazaji huyu Rob Hawthorne, aliinogesha sana fainali ya Uefa mwaka 2005 kati ya Liverpool na AC Milan
English, kuna maneno matamu sana hasa ukikutana na mtangazaji huyu Rob Hawthorne, aliinogesha sana fainali ya Uefa mwaka 2005 kati ya Liverpool na AC Milan
English, kuna maneno matamu sana hasa ukikutana na mtangazaji huyu Rob Hawthorne, aliinogesha sana fainali ya Uefa mwaka 2005 kati ya Liverpool na AC Milan

ya 2007 alikuwa leba anajifungua ndio maana haikunoga..

mxiuuuu
 
El ronaldo. . el Ferrari ......ulwaaaa ulwaa! Gooooooooo
 
Back
Top Bottom