Lugha gani unapenda kujua kuiongea au kuandika?

Lugha gani unapenda kujua kuiongea au kuandika?

Natafuta mtu anifundishe KIHAYA nimepata girl wa kihaya kila nikienda kwao ni haya kwa kwenda mbele mpaka naboreka nashindwa kuchangia mada zao...
 
Napenda sana kujua French, Kispaniola na Kisambaa kuna uwezekano mkubwa nikavuta jiko toka kwa akina Shemahonga!!! and i like the way they prounance some of their words e.g. "nzeze"
 
Ningependa kuongea na kuandika kijapani kwa ufasaha ila KANJI (maandishi yenye asili ya China) ni shughuli pevu ku-master. Anyone to help me?
 
Back
Top Bottom