Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,720 Sep 28, 2008 Thread starter #21 Natafuta mtu anifundishe KIHAYA nimepata girl wa kihaya kila nikienda kwao ni haya kwa kwenda mbele mpaka naboreka nashindwa kuchangia mada zao...
Natafuta mtu anifundishe KIHAYA nimepata girl wa kihaya kila nikienda kwao ni haya kwa kwenda mbele mpaka naboreka nashindwa kuchangia mada zao...
K Kipanga JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 676 Reaction score 38 Sep 28, 2008 #22 Napenda sana kujua French, Kispaniola na Kisambaa kuna uwezekano mkubwa nikavuta jiko toka kwa akina Shemahonga!!! and i like the way they prounance some of their words e.g. "nzeze"
Napenda sana kujua French, Kispaniola na Kisambaa kuna uwezekano mkubwa nikavuta jiko toka kwa akina Shemahonga!!! and i like the way they prounance some of their words e.g. "nzeze"
Himawari JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 2,609 Reaction score 1,700 Sep 28, 2008 #23 Ningependa kuongea na kuandika kijapani kwa ufasaha ila KANJI (maandishi yenye asili ya China) ni shughuli pevu ku-master. Anyone to help me?
Ningependa kuongea na kuandika kijapani kwa ufasaha ila KANJI (maandishi yenye asili ya China) ni shughuli pevu ku-master. Anyone to help me?