Lugha Gongana

Lugha Gongana

samkarume

Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
59
Reaction score
37
Hii sio sahihi, Kama na wewe una neno ambalo sio sahihi tafadhali tujulishe pia

1 Chips mayai = Viazi na mayai
2 Shule ya Sekondari = Shule ya upili
3 Tochi= Kurunzi
4 Dingi = Baba
6 Kompyuta = Tanakirishi
7 Shelli= Kituo cha mafuta
8 Saluni
9 Simu = Kilonga Longa
10 Tivii= Runinga
12 Stendi= Kituo cha basi
13 Kalkuleta = Kikotoo
14 Inbox = Kikabati
15 .......

Na wewe ongeza ya kwako inayogongana
 
Maneno ni mengi tena chungu nzima hatuwezi kuyamaliza. kila kukicha linakuja hili kesho Hilo kulingana na muktadha husika.
 
Back
Top Bottom