Lugha ipi inafaa kufundishia mashuleni

Lugha ipi inafaa kufundishia mashuleni

mr.chengachenga

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
155
Reaction score
104
Habari wanajf.
kumekua na mijadala mingi sana kuhusu ni lugha gani inafaa kufundishia watoto mashuleni.malalamiko mengi sana yamekua yakilenga kua wanafunzi wanapo hama kutoka shule ya msingi wakiwa wanatumia kiswahi kama lugha ya kujifunzia na kukuta sec. mambo yamebadilika kwa kutumia kingereza kama lugha ya kujifunzia.kutokana na mkanganyiko huo watu wamekua wakilaumu kua ndio chanzo cha watoto kufeli kidato cha nne.
MAWAZO YANGU KUHUSU HUU MKANGANYIKO.
Tukiamua kutumia kiswahili kutoka shule ya msingi mpaka sec,tukisema tufanye hivyo bado kutakua na malalamiko kutoka sec. kwenda A.level na hivyo kulazimika kutumia kiswahili mpaka chuo kikuu.kitu hiki kisingefaa kutokana na taifa kua nyuma sana katika teknoloji hvyo kulazimika kutumia lugha yao ili tuweze kusoma yale walio yavumbua wao bla shaka.7babu nyingine n kua kswail kina upungufu wa misamiati.
Tukisema tutumie kingereza mwanzomwisho tutakua tunaiharibu lugha yetu ilioendelea kimataifa.mfano ni kutumika kwa kiswahili kwenye mashirika kama bbc,voa,dw
 
kujifunza kiswahili ni rahisi kuliko kujifunza kiingereza kwasababu muundo wa lugha ya kiswahili kwa kiasi kikubwa umeiga muundo wa lugha ya kiingereza na pia kamati ya kwanza ya usanifu wa lugha ya kiswahili iliundwa na waingereza hivyo basi elimu ya msingi wangetumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na kiswahili kama somo tu na pia mtoto anaweza kujifunza lugha kwa urahisi kuliko mtu mzima hivyo kwa kufanya hivyo wangewajengea msingi mzuri wa kiingereza na kiswahili baadaye mfano wanafunzi wa english medium wanatumia kiingereza kama lugha ya kujifunzia na lugha ya mawasiliano lakini pia wanazungumza kiswahili vizuri tu.
 
ni kweli hao watoto wa english medium wanazungumza kiswahi kizuri tu,lakini ukichunguza vizuri utagundua ni kwa7bu tu wanajichanganya na wenzao wa st.kayumba hivyo kulazimika kutumia kiswahili ili waelewane.kama wote watatumia kingereza tangu shule za msingi kutapelekea kiswahili kufa kabisa baada ya vizaz 3 mpaka 4 vijavyo.
 
Back
Top Bottom