mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 155
- 104
Habari wanajf.
kumekua na mijadala mingi sana kuhusu ni lugha gani inafaa kufundishia watoto mashuleni.malalamiko mengi sana yamekua yakilenga kua wanafunzi wanapo hama kutoka shule ya msingi wakiwa wanatumia kiswahi kama lugha ya kujifunzia na kukuta sec. mambo yamebadilika kwa kutumia kingereza kama lugha ya kujifunzia.kutokana na mkanganyiko huo watu wamekua wakilaumu kua ndio chanzo cha watoto kufeli kidato cha nne.
MAWAZO YANGU KUHUSU HUU MKANGANYIKO.
Tukiamua kutumia kiswahili kutoka shule ya msingi mpaka sec,tukisema tufanye hivyo bado kutakua na malalamiko kutoka sec. kwenda A.level na hivyo kulazimika kutumia kiswahili mpaka chuo kikuu.kitu hiki kisingefaa kutokana na taifa kua nyuma sana katika teknoloji hvyo kulazimika kutumia lugha yao ili tuweze kusoma yale walio yavumbua wao bla shaka.7babu nyingine n kua kswail kina upungufu wa misamiati.
Tukisema tutumie kingereza mwanzomwisho tutakua tunaiharibu lugha yetu ilioendelea kimataifa.mfano ni kutumika kwa kiswahili kwenye mashirika kama bbc,voa,dw