Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Wamevuna mijwanja kibao ya mstaafuSijui kama hata chakula kinashuka ,wametumia nguvu nyingi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamevuna mijwanja kibao ya mstaafuSijui kama hata chakula kinashuka ,wametumia nguvu nyingi mno
Aliyekuwa mwenyekiti amekuwa akisema cdm ni kikubwa kuliko viongozi.Na chama kusema kweli ni wanachama ambao walimsihi mwenyekiti kwa heshima amwachie Lisu lakini akaisahau kauli yake mwenyewe.sasa uchaguzi umeisha Viongozi wapya wasahau vijembe vilivyopita na kusameheana ili kujenga imani nyingine kuwa chama hiki ni cha matumaini hata wakati wa dhoruba.Uimara wa chama hiki kitaifanya hata ccm kuwa imara na kuwatumikia wananchi vema maana wanajua cdm inaweza kuwa mbadala wakati wowote hata keshoKila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.
Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.
Ikiwa imemzidi mpinzani wake Salzburg vitu vingi,rate ya mchezaji mmoja mmoja,na haya umaarufu.
Lakini bado hakuna anayekuwa na Imani ya kiasi kikubwa kuweka milioni 1 eti Madrid ashinde.
Lazima kuwe na akiba ya ubongo na maneno pia,hii kitu imemshinda Yeriko Nyerere,anadhani watanzania be wamelala,anadhani ukieneza propaganda unaweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu
hata wajumbe walio wengi wamesoma ni nani anatakiwa na wananchi mwisho wa siku box limeamua.
Hongera TUNDU LISSU
Hongera FREEMAN MBOWE
Hongera CHADEMA.
Mmeonesha Demokrasia ya kweli,
Ila mwanakwetu Yeriko Nyerere punguza mdomo.
Umeshindwa kusoma alama za nyakati , umeshindwa kutumia ujasusi wako vizuri mdogo wangu.
Swela hela be myetu.
Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.
Hata sisi tumewasamehe, ila wapunguze kamdomo,Naomba Lissu awasamehe,achukulie ilikuwa sehemu ya kampeni
Na katika vijarida vyake kuna sehemu kaandika kuwa alienda Comoro miaka fulani ila uondokaji wake alizamia boti usiku mnene akapanda na mzee mmoja aliyefika katikati ya bahari akatupa mizigo na kuwaaga abiria wengine kuwa kafika (Alikuwa jini)[emoji1787]Jasusi nguli , mbobevu kaenda adi Moscow na Ukraine kufanya research kaandika adi kitabu sjapenda mtunzieni heshima yake james bond wetu,
Ni kweli kabisa CDM,chama imaraAliyekuwa mwenyekiti amekuwa akisema cdm ni kikubwa kuliko viongozi.Na chama kusema kweli ni wanachama ambao walimsihi mwenyekiti kwa heshima amwachie Lisu lakini akaisahau kauli yake mwenyewe.sasa uchaguzi umeisha Viongozi wapya wasahau vijembe vilivyopita na kusameheana ili kujenga imani nyingine kuwa chama hiki ni cha matumaini hata wakati wa dhoruba.Uimara wa chama hiki kitaifanya hata ccm kuwa imara na kuwatumikia wananchi vema maana wanajua cdm inaweza kuwa mbadala wakati wowote hata kesho
Unataka kusema Odero hakujipigia kura? Au hakuwa na sifa za kupiga? Maana kapata kura moja tunilishasema humu mimi ni Team Chadema ma kura yangu 1 nimempigia Odero
Hakuwa na sifa ya kupiga kuraUnataka kusema Odero hakujipigia kura? Au hakuwa na sifa za kupiga? Maana kapata kura moja tu
Hapo jamaa kamebanwa na kanaweza jikojoleaKila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.
Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.
Ikiwa imemzidi mpinzani wake Salzburg vitu vingi,rate ya mchezaji mmoja mmoja,na haya umaarufu.
Lakini bado hakuna anayekuwa na Imani ya kiasi kikubwa kuweka milioni 1 eti Madrid ashinde.
Lazima kuwe na akiba ya ubongo na maneno pia,hii kitu imemshinda Yeriko Nyerere,anadhani watanzania be wamelala,anadhani ukieneza propaganda unaweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu
hata wajumbe walio wengi wamesoma ni nani anatakiwa na wananchi mwisho wa siku box limeamua.
Hongera TUNDU LISSU
Hongera FREEMAN MBOWE
Hongera CHADEMA.
Mmeonesha Demokrasia ya kweli,
Ila mwanakwetu Yeriko Nyerere punguza mdomo.
Umeshindwa kusoma alama za nyakati , umeshindwa kutumia ujasusi wako vizuri mdogo wangu.
Swela hela be myetu.
Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.
Kwahiyo hapa hajuiekama amelala au yuko macho? Hajui kama amekaa au amesimama ?Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.
Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.
Ikiwa imemzidi mpinzani wake Salzburg vitu vingi,rate ya mchezaji mmoja mmoja,na haya umaarufu.
Lakini bado hakuna anayekuwa na Imani ya kiasi kikubwa kuweka milioni 1 eti Madrid ashinde.
Lazima kuwe na akiba ya ubongo na maneno pia,hii kitu imemshinda Yeriko Nyerere,anadhani watanzania be wamelala,anadhani ukieneza propaganda unaweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu
hata wajumbe walio wengi wamesoma ni nani anatakiwa na wananchi mwisho wa siku box limeamua.
Hongera TUNDU LISSU
Hongera FREEMAN MBOWE
Hongera CHADEMA.
Mmeonesha Demokrasia ya kweli,
Ila mwanakwetu Yeriko Nyerere punguza mdomo.
Umeshindwa kusoma alama za nyakati , umeshindwa kutumia ujasusi wako vizuri mdogo wangu.
Swela hela be myetu.
Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.
Hapo anavuta ammonium sulphatePichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.🤣🤣🤣
Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.🤣🤣🤣