Lugha mchanganyiko

Lugha mchanganyiko

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
154
Reaction score
146
Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa
Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano 😌


Leo tunaanza na salamu za asubuhi

English--Goodmorning
Spanish--buen día
Chinese--早上好(zaoshang hao)
Italiano--Buongiorno
Japanese--おはよう(ohayo)



Atakaye nijibu Kwa usahihi Kuna zawadi
 
Ukiondoa Kingereza hizo zingine umejifunza wapi?
 
Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa
Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano [emoji18]


Leo tunaanza na salamu za asubuhi

English--Goodmorning
Spanish--buen día
Chinese--早上好(zaoshang hao)
Italiano--Buongiorno
Japanese--おはよう(ohayo)



Atakaye nijibu Kwa usahihi Kuna zawadi
Chinese--早上好(zaoshang hao) hiyo pin ying hujaweka sauti zake iko flat itapotosha maana! Kwa usahihi inaandikwa hivi Zǎoshang hǎo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom