Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Huwa tunajidanganya sana kuwa binadamu ni kiumbe aliyestaarabika. Kwamba ni kiumbe anayesikiliza reasons. Kujidanganya kabisa. Kwenye saikolojia kuna kanuni inasema, "Mind gets what it want." Kuwa akili inapata inachotaka.
Mfano. Kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mshabiki wa Yanga atasema ni offside wakati wa Simba anasema siyo offside. Watabishana bila muafaka lakini jibu la kweli ni moja tu.
Anatokea mtu amezaliwa kwenye Ukristo, anatetea kwa nguvu zote kuwa ukristo ndiyo dini ya kweli. Huyohuyo angezaliwa kwenye uislamu angetetea kwa nguvu zote kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli. Mambo ya siasa nayo yapo hivyo.
Siku zote akili haipo kusikiliza reasons. Ipo kurationalize ambacho tayari inakikubali. Katika hali kama hiyo lugha pekee anayoweza kuelewa ni kipigo na ubabe tu. Usiangaike sana kureason na binadamu, siyo lugha anayoelewa kirahisi.