lugha ya kichaga na uandikaji wake

lugha ya kichaga na uandikaji wake

Firstlady,
mashikoro mageni ni kichagga cha wapi na kinamaanisha nini?
Hicho kisukuma baba...mashikolo mageni means vitu vigeni...always hutumika kwa kitu usokijua na mtu kakwambia ufanye...then in short unamjibu...mashikolo mageni ili usichekwe
 
unaonaje kama tungeanza na kisukuma?

Kuna kamusi kibao za kisukuma wazee...Kisukuma ni simple as kiswahili...ngosha,bebenang'ho,namhala na mengineyo sasa wewe hebu niambie neno gani la kisukuma ambalo hutaweza liandika?tena ukome kabisa na hiyo lugha....kuna vitabu kibao vya kisukuma...nenda BUJOLA mwanza utapata translations nyingi tu toka kwa wasukuma pia DICTIONARY utapata mkuu..so ondoa shaka kwenye hilo li lugha wajameni
mhhh,
makabila yameanza kujitokeza hapa.
 
Hicho kisukuma baba...mashikolo mageni means vitu vigeni...always hutumika kwa kitu usokijua na mtu kakwambia ufanye...then in short unamjibu...mashikolo mageni ili usichekwe
Wakuu Magulumangu na Firstlady,
Ni MASHIKOLO au ni MASHIKORO?
 
mashikoro mageni
kulimola duh!

Hichi si kiChagga. Ni kiMarangu ndio unaulizia.
Machame hakuna shida ya maandishi, tunatamka r kama "gh" itamkwavyo na waSwahili katika kusema "ghafla" kwa mfano, "maare" = majani
Sehemu inayohitaji matamshi "wa" kama kumaanisha watoto tunaandika "v" = "vana"

Sioni ugumu wa kuandika kiMarangu pia, mbona vitabu vya nyimbo za kiLutheri vya kiMarangu vimeandikwa na vinasomeka?
nitafanya namna ya kuvitafuta, mkuu

Sasa wakuu,
Mbona hawa wachaga hawaeleweki?
Location: MOSHI TANZANIA. mkuu hiyo ni location yako. mbona wajikana? makyao wachaga bana, au wewe mchaga mzaramo?

Umeshajifunza kichaga?
nimepata toto la kichaga mtu wangu nikaona nipende na ua lake (kichaga)

una furaha sana

preta unanikuna. iyo okwi!
 
kulimola duh!

nitafanya namna ya kuvitafuta, mkuu

Location: MOSHI TANZANIA. mkuu hiyo ni location yako. mbona wajikana? makyao wachaga bana, au wewe mchaga mzaramo?

nimepata toto la kichaga mtu wangu nikaona nipende na ua lake (kichaga)

preta unanikuna. iyo okwi!
Kingi,
Natamani kujua jinsi unavyoweza ku Quote jumbe za watu wengi na kuzijibu moja baada ya nyingine.
 
Back
Top Bottom