mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Leo nimetembelewa na mzungu ofisini,nilikuwa na jamaa zangu ghafla nikaona pumzi inaniishia ,na maneno yangu niliyojifunza form six pale tambaza yanakuwa machache sana,jasho lilikuwa likinitoka na miguu kutetemeka.midomo yangu ilikuwa mizito na ,the the the kwa idadi zilifika hata mia tano kwa muda mchache.kweli kiingereza ni tishio sana kwangu
Atakua alienda kusomea kujitoa mhanga.Shule ulienda kusomea ujinga.
Kuna wale wanaosema wakilewa wanaongea Kiingereza vizuri.Unajua nini_?! Nikujiamini tu then utashangaa mwenyewe umeweza vipi
Then ukiwa unafanya practise ya kuongea hiyo lugha mbele ya watu au mtu utakuwa confident when speaking that language coz unakuta mtu anaongea kiingereza kizuri akiwa mwenyewe au na mtu aliemzoea sana Lakini akiwa na watu wengine hawezi, hii ni sababu ya kutokuzoea kuongea mbele za watu ambapo inafanya unakosa kujiamini kama kweli unaweza kuzungumza vizuri.
Sababu wanakuwa unconscious na chochote kile au yeyote yule hivyo mind yao inakuwa free na confident kumwaga chochote kile wanachokijua kichwani.Kuna wale wanaosema wakilewa wanaongea Kiingereza vizuri.