Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
[emoji119] [emoji119] [emoji23] [emoji23]Shule ulienda kusomea ujinga.
😀 😀 😀
umenishinda tabia.
😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji119] [emoji119] [emoji23] [emoji23]Shule ulienda kusomea ujinga.
Shule ulienda kusomea ujinga.
Inasemekana wanaokuja kwanza kabla ya kutumbuliwa ni wazunguLeo nimetembelewa na mzungu ofisini,nilikuwa na jamaa zangu ghafla nikaona pumzi inaniishia ,na maneno yangu niliyojifunza form six pale tambaza yanakuwa machache sana,jasho lilikuwa likinitoka na miguu kutetemeka.midomo yangu ilikuwa mizito na ,the the the kwa idadi zilifika hata mia tano kwa muda mchache.kweli kiingereza ni tishio sana kwangu