Lugha ya kiswahili na mitandao ya kijamii

Lugha ya kiswahili na mitandao ya kijamii

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Nina hoja naleta kwenu tuijadili.

Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi.

Mifano hai ni katika siku za karibuni kumeibuka maneno mapya toka mitandao ambayo hapo kwenye matumizi ya Kiswahili lakini kwa nguvu ya mitandao ya jamii yanatumika kwa maana tofauti. Utasikia siku hizi kama wajumbe, usinifokee.

Je, hii inaboresha lugha yetu au ndio inaibomoa?
 
Back
Top Bottom