STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Basi haya masuala yanauwanja mpana sana, na nadhani hiyo elimu haijatofautiana sana na elimu ya U-spyKatika body language ndio maana huangalii peke take facial expression pia unaangalia pose na tone of the voice MTU anaweza kupretend ila hawez kujificha katik kil jambo