Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
- Thread starter
- #61
Tukikaa bila kupasha pasha unaweza kusahau vitu vingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Como....... i eatComo esta usted señor!
Muy bien.ook lo intentaré
¡ladrar! esperemos a más participantes que obtuvieron algo para compartirlentamente podemos enseñarnos unos a otros y desarrollar mejores habilidades para hablar
Gracias muy importante...Como....... i eat
Cómo...... How
esta....... This
estás........ You
Kukosea kuweka tu accent mark juu ya "o" na "a" imebadili maana nzima ya sentence
Hapo ulitaka kusema "How are you sir"
Lakini hapo wewe umesema "i eat this"
Ulipaswa kuandika "¿cómo estás señor?
Neno " usted" lina maana ya "you" lakini pia "estás" linamaanisha "you" kwahiyo haina haja ya kutumia "usted"
Huyo Iniesta nilikiwa nampita somo la lugha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
(Joking)
BienvenidoGracias muy importante...
kama ni mpenzi wa TV shows, ni mwalimu mzuri. Kwangu mim spanish movies na Tv shows with Eng subtittles ni mwl mzuri mno.Tukikaa bila kupasha pasha unaweza kusahau vitu vingine
La puta. La culo
Panachanganya vibaya mno hapa, sijawahi kuelewa hichi kipengeleHivi para na por zina maana gani?
Kuna baadhi ya herufi zinatamkwa kivingineKitu kizuri kuhusu Spanish. Ilivyo andikwa ndivyo hvyo unasoma tofauti na English ilivyo. English ni ngumu, ukifananisha na spanish.
Ila pia kama kispaniola na kitaliano kina vitu vinafanana kidogoZamani nilikuwa siwezi kutofautisha kati ya kispaniola na kiportuguese.
Seguro que te beso?Suavemente besame.
Kuna baadhi ya herufi zinatamkwa kivingine
Na inategemea pia ni spanish ya Spain au ya South America
Kwa mfano Spain
"c" inatamkwa "th"
"d" inatamkwa "dh" (hapa inategemea na d yenyewe ipo sehem gani ya neno)
"ñ"......." ny"
"ll" zinatamkwa kama "y"
"b" inatamkwa "v" (inategemea ipo sehem gani ya neno)
"g"........" gh"
Nk
Engelikuwa umetaka kwenye Portuguese nipo poa kabisa.Wadau wale wanazungumza lugha ya hispania hapa ndio tuongeze maujuzi maujanja tuchat kwa lugha hii tusipoteze dira ili na wale amabao wana uelewa mdogo waendelee kuzoea.
Ushauri
Tufanye yetu humu.
Ili tusisahau lugha hii tuliobahatika kuwa nayooo....
Karibunii. View attachment 731714
Eu estou bem! não sei aí onde você está?Tudo bem