Lugha ya spanish tukutane hapa

Como esta usted señor!
Como....... i eat
Cómo...... How
esta....... This
está........ You

Kukosea kuweka tu accent mark juu ya "o" na "a" imebadili maana nzima ya sentence

Hapo ulitaka kusema "How are you sir"
Lakini hapo wewe umesema "i eat this"

Ulipaswa kuandika "¿cómo está señor?

Neno " usted" lina maana ya "you" lakini pia "está" linamaanisha "you" kwahiyo haina haja ya kutumia "usted"

Huyo Iniesta nilikiwa nampita somo la lugha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
(Joking)
 
Gracias muy importante...
 
Kitu kizuri kuhusu Spanish. Ilivyo andikwa ndivyo hvyo unasoma tofauti na English ilivyo. English ni ngumu, ukifananisha na spanish.
Kuna baadhi ya herufi zinatamkwa kivingine
Na inategemea pia ni spanish ya Spain au ya South America
Kwa mfano Spain
"c" inatamkwa "th"
"d" inatamkwa "dh" (hapa inategemea na d yenyewe ipo sehem gani ya neno)

"ñ"......." ny"
"ll" zinatamkwa kama "y"
"b" inatamkwa "v" (inategemea ipo sehem gani ya neno)
"g"........" gh"

Nk
 
Kuna Spanish ya Spain..,spanish ya south america(argentina,venezuela nk) pamoja na spanish ya north america(mexico)....
 
Engelikuwa umetaka kwenye Portuguese nipo poa kabisa.

Ila uzur wa português na ki Hispânia hazijapishana sana maneno yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…