Lugha ya spanish tukutane hapa

Lugha ya spanish tukutane hapa

Structure ndo base yenyewe, nazungumzia improvement tamshi na misamiat mipya hasa inayotumika kwa mazungumzo currently.
 
Naombeni uzi huu mtu yeyote anitag ili niulie mazoezi mimi napenda kujifunza lugha mbali mbali tatizo simu yangu kubwa inazingua natumia ndogo kwa sasa.
Gracias por la thread amigo
 
Mfano mzizi wa neno "Como" unapatikana katika lugha hizi mbili zote.

Ila Spanish ni tamu kuliko Portuguese!
Português unaijua? Português iko poa kabisa maneno mengi hayakupi shida ya Português ukifahamishwa kutoka kwenye English

Mfano WA maneno ya English yaliomalizia na tion mfano communication kwa kwenye português unatoationunaweka ção na kuwa communicação kwahiyo viirabu vyenye cento yaani zenye alama mfano ç,ã,á n.k kama hujaskiliza mtu anaeongea kwa kuandikiwa tu ukasoma hujui inavyotamkwa.

Ukiamua kuifuatilia lugha hii lazima ujipinde maana ni ngumu kiasi fulani.

Pia kwa kwenye português neno COMO lina maana ifuatayo:

COMO kwa maana ya kwanza inamaana ya kuuliza jambo mfano como está?= how are you=Hali yako? Kwenye English kwa neno hili ni How.

Maana ya pili ya neno COMO hapa inatokana na kitendo KULA kwahiyo neno hili linatumika kwa nafs ya kwanza umoja tu yaani Mimi ndio inayoniuhusu na si nafsi nyengine mfano Eu como arroz com carne de cabrito na minha casa =Mimi huwa nakula wali na nyama ya Mbuzi nyumbani kwangu. Kwa kwenye English hapo tunasema ni tense ya simple present.

Pia kwenye hiyo sentensi hapo juu neno minha likiwa na maana ya -angu hayo maneno yapo mawili moja ni hilo minha likiwa na sifa ya uke na jengine ni Meu likiwa na sifa ya uume yote yana maana sawa ila yana sifa zake kwenye utumiaji.

Kwa hayo machache samahanini.
 
Vc fala e escreve moito bem Portugués.
Hongera
 
Back
Top Bottom