Lugha ya spanish tukutane hapa

Lugha ya spanish tukutane hapa

Wa-Spanish hata Kiingereza hawakitaki kukisikia wakiwa ndani ya nchi inayoongea Kiingereza

Sidhani kama kuna Mspanish duniani anajifunza Kiswahili
 
nimejifunza spanish for almost 4 years ,now nipo good sana kwenye spanish ,next year nitakuwa good kwa 100% kwenye kuongea spanish
 
Es un idioma hermoso y aquellos que quieran aprenderlo podrán
 
Back
Top Bottom