Lugha za Wazazi kwa Watoto wao waliofaulu na kufeli kidato cha nne

Lugha za Wazazi kwa Watoto wao waliofaulu na kufeli kidato cha nne

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
415
Reaction score
361
HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE
ALIEFAULU KIDATO CHA NNE..

SAA 12 asubuhi.

BABA;- baba, unaamka sasa hivi au unalala lala
kidogo..

MTOTO;- Hapana baba nimechoka
ntaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua
naangalia PRISON BREAK season 5, kumbe
michael scofied hakufa.
BABA;- Haya baba basi kuna elfu 30 nimemuachia
mama ako kama utajiskia kutoka utaitumia kama
nauli na mimi ntaiangalia baadae iyo season.
MTOTO;- Baba si uniachie zile funguo za rav4!!
BABA;- Haina tatizo utaenda kuchukua pale
chumbani kwangu usipoziona mwambie mama
ako akupe, halafu
sidhani kama hiyo pesa itakutosha kwa ajili ya
mafuta upitie pale ofisini nikuongeze pesa.

SASA HII NDIO LUGHA KWA WALE WALIOPATA 4
NA 0

SAA 12 asubuhi.

BABA:- We nguruwe umelala tuu mpaka saa hizi
ivi unajua bei ya hilo godoro mpuuzi wewe kazi
kupata maziro tuu kwa kulala lala lione bichwa
kama tofali, hebu amka unioshee gari niende
kazini kenge wee.
 
Back
Top Bottom