Lugha zenye kudumaza: Masikini, Wanyonge, Uzalendo na Mabeberu

Naona umefanya cherry picking. Hata hivyo hakuna sehemu ya katiba ikitamka hivyo. Preferential option ni kuondoa umasikini na si kuita watu masikini na wanyonge. In short, hakuna tofauti na siasa za kigabacholi.
 
Naona umefanya cherry picking. Hata hivyo hakuna sehemu ya katiba ikitamka hivyo. Preferential option ni kuondoa umasikini na si kuita watu masikini na wanyonge. In short, hakuna tofauti na siasa za kigabacholi.
Rejea:

"Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno "kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala walipotokea, maoni yao ya kisiasa, rangi, dini, jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima, isipokuwa kwamba neno "kubagua" halitafafanuliwa kwa namna ambayo itaizuia Serikali kuchukua hatua za makusudi zenye lengo la kurekebisha matatizo katika jamii." (Katiba ya JMT 1977, 13(5))
 
Swali fikirishi waliosababisha wayonge na masikini waendelee kuwepo ni nani
 
Kipengele kinataja hali za watu na si kuwaita masikini na wanyonge.
Pitia vizuri maandiko uone hoja.
 
Bahati mbaya wenye nyenzo za kuwakwamua wananchi kwa zaidi ya miaka 50 ndio wanaowaita haya majina.
 
Siyo lugha za kudumaza tu bali lugha za wizi hizo wapumbavu wanapumbazwa kwa kauli hizo za kishetani huku nchi ikiliwa na watoa kauli hizo.
 
Ni sayansi ya kichawi, hujua fika maneno huumba. Na ukute ndio neno alilopewa kulitumia kuwanajisi nalo watu kichawi.
 
Hizi lugh za umaarufu, ukomo umefika.
Miaka zaidi ya 50 ya kuongoza nchi, watu wale wale wanaitwa lugha za kupumbazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…