chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Mkuu sijakuelewa hapo kwenye dunia kuwa na miaka 2017...Mkuu hujachelewa,dunia ndo kwanza inamiaka 2017 anza kutengeneza tu hizo herufi za kiswahili hadi kufikia mwaka 8017 itakua ishaeleweka
Kwa statement yako inaelekea unamfahamu mfungaji. Tusaidie tumfahamu au tuombee dirisha dogo tusajili ugunduzi wetuNafikiri dirisha la ugunduzi liligungwa ndugu!
Nadhani naye kachanganya tu, msamehe nadhani unaelewa vizuri. Tuachane na kalenda tujadili mada mkuu.Mkuu sijakuelewa hapo kwenye dunia kuwa na miaka 2017...
Ufafanuzi tafadhali.
Haina shida mkuu.Nadhani naye kachanganya tu, msamehe nadhani unaelewa vizuri. Tuachane na kalenda tujadili mada mkuu.
Hilo swali ulilouliza ndilo ambalo pia mleta mada ameuliza.Lakini still wana herufi zao kutokana na lugha yao, mfano kabla hakijaja kiswahili lugha za kibantu wao walikua na herufi gani za lugha zao??
'Time'Kwa statement yako inaelekea unamfahamu mfungaji. Tusaidie tumfahamu au tuombee dirisha dogo tusajili ugunduzi wetu
Oooh shukran sana kwa kunielewesha bro,Hilo swali ulilouliza ndilo ambalo pia mleta mada ameuliza.
Mfano kabla ya kuja kwa hao wazungu na waarabu waliotuletea aina za uandishi, sisi tulikuwa na nini?
Au tuliishia katika uchoraji na uchongaji tu kama ile michoro ya Amboni Tanga na pia sauti za mawasiliano tu bila uandishi wa herufi zetu?
Baada ya Yesu Kristo kufufuka Dunia ilianza kuhesabu mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu...na kwa minajili hiyo leo ni mwaka wa 2017.Haina shida mkuu.
Nilitaka afafanue labda kuna kitu anamaanisha ambacho mimi sikijui ili nijifunze.
Si unajua tena elimu haina mwisho mkuu.
Nakuelewa maana yako. Lakini nilidhani hiyo ilikuwa enzi zile za mababu wa mababu, inawezekana hadi leo na utitiri wa watafiti tulionao hilo likawa bado nitatizo letu wabantu?! Na kama ndivyo, inamaanisha hata kuchora chora kwenye mawe hatukuwahi au babu zetu hawakuchora mawasiliano yao au wagunduzi hawa kuyaelewa?!Ila pia kumbuka kuwa Watu weusi wenye asili ya kibantu (wenye pua kubwa na lips pana) ndio wanaoongoza kwa kusubiri kutafuniwa kiila kitu.
Hawana asili ya Ubunifu (Innovation), Ugunduzi (Discovery) wala Uvamizi kwa nia ya utawala / ushikaji dola (Conguering).
Ni kama watu hawa waliumbwa ili kutawaliwa na kuwatumikia Wazungu, Waarabu, Wahindi na hata Wachina...na mpaka leo ni Watumwa kwa races hizo na ushahidi upo wazi.
Kama kungekuwa na aina ya uandishi, leo hii ungekuwepo kule Cameroon kabla ya kifaransa.Oooh shukran sana kwa kunielewesha bro,
ila siamini kama tulikua hatuna uandishi wetu, ninachoona tuwaulize wazee wa zamani kama bado wapo.
Nafikiri hayajawahi kuwepo, zaidi ya michoro, michongo na lugha ya mawasiliano.Nakuelewa maana yako. Lakini nilidhani hiyo ilikuwa enzi zile za mababu wa mababu, inawezekana hadi leo na utitiri wa watafiti tulionao hilo likawa bado nitatizo letu wabantu?! Na kama ndivyo, inamaanisha hata kuchora chora kwenye mawe hatukuwahi au babu zetu hawakuchora mawasiliano yao au wagunduzi hawa kuyaelewa?!
Basi tukiri sisi hatuwezi kugundua,je wale athropoligist wanaweza kutafuta haya ma herufi ya mawasiliano ya makabila yetu kama yamewahi kuwepo?! Mimi hata tukifanyiwa utafiti na wanaojua kama lugha zetu zitapata herufi nitafurahi sana. Tusaidie kama wapo anthropologist wa lugha unaowafahamu wanaweza kuwa na data za kuanzia utafiti wa hili mkuu.
Unamaanisha nyakati hizi hatuwezi kugundua au kutengeneza kitu chetu?! Najua itakuwa ngumu lakini ugumu sio kushindwa.Wataalam wanaweza kuweka mawazo yao pamoja wakafanya hii kitu, inaweza isitumike leo lakini wanaweza kuwa na kumbukumbu za data za kuanzia na wengine wakamaluzia. Nasikia hata wale ma genius kuna fomular zao zingine hazijawa practical. Zipo na zinakubalika theoretically but not practically yet. Nasi tunaweza kwa misingi hiyo.'Time'
Ndiyo inayolea relevance ya jambo fulani.
Naona tofauti. Lakini nimewahi sikia simuluzi kwamba wakati wakoloni wanaanza kuja hao babu zetu walipigana nao,na katika harakati hizo nasikia babu zetu walikuwa wakiwasiliana kwa alama kama code zao za mawasiliano ambazo wazungu hawakuzijua. Sasa hizo code zilikuwa na maumbo gani na hayo maumbo yalimaanisha nini?! Mimi nadhani tukianzia hapo tunaweza tuka kuta hizo herufi au wewe bado hushawishiki?! Labda hatukuwa na formal education lakini tuliwasiliana. Unaamini tusinge tawaliwa na wakoloni tunge kuwa tunaongea bila kuandika mpaka leo?!Nafikiri hayajawahi kuwepo, zaidi ya michoro, michongo na lugha ya mawasiliano.
Kwanza kumbuka uandishi huo ni source au element mojawapo ya formal education.
Uliwahi kusikia kuwa Wabantu walikuwa na Formal education kabla hatujaletewa na Wakoloni?
Wakati hao wakoloni wakiandika kwa kutumia wino na bawa la kuku katika ofisi zao enzi hizo sisi tulikuwa tunachora wanyama kwenye mapango kwa kutumia damu.
Huoni tofauti hiyo?
Tatizo hizo codes hazikuandikwa. Wahindi walitawaliwa lakini waliweza baadaye kutumia herufi zao katika maandishi ya lugha zao. Sisi bado tulikuwa hatuna maandishi.Naona tofauti. Lakini nimewahi sikia simuluzi kwamba wakati wakoloni wanaanza kuja hao babu zetu walipigana nao,na katika harakati hizo nasikia babu zetu walikuwa wakiwasiliana kwa alama kama code zao za mawasiliano ambazo wazungu hawakuzijua. Sasa hizo code zilikuwa na maumbo gani na hayo maumbo yalimaanisha nini?! Mimi nadhani tukianzia hapo tunaweza tuka kuta hizo herufi au wewe bado hushawishiki?! Labda hatukuwa na formal education lakini tuliwasiliana. Unaamini tusinge tawaliwa na wakoloni tunge kuwa tunaongea bila kuandika mpaka leo?!
Fanya utafiti ubuni herufi zako na ikiwezekana anza na kabila lako, utapata u-professor kiulaini.Habari zenu wana bodi.
Huwa najiuliza maswali lakini sipati majibu lakini leo naomba nanyi mnisaidie.
Tanzania tuna makabila mengi na haya makabila yanaongea lugha tofauti. Lakini pia tunaongea kiswahili. Swali langu ni hili ilikuwaje tuweze kuongea lugha tofauti lakini tukashindwa kuwa au kuweza kuandika hizi lugha zetu kwa HERUFI zetu?! Yani makabila yote tulijua kuongea lakini hakuna hata kabila moja liliweza kuwa na herufi za maandishi yake?! Angalia Ethiopia wana herufi zao,wahindi wana herufi zao,wachina wana herufi zao, warusi wana herufi zao,sweden wana herufi zao waingereza wana herufi zao. Sisi Tanzania tulishindwa au tulitegemea ugunduzi wa wazungu kutuwekea vitu vyetu kwenye kumbukumbu na kwakuwa hawakuziweka kumbukumbu inamaana hatukuwa na herufi zetu kweli?!
Je, tunaweza kutengeneza herufi zetu leo au ugunduzi uliishafungwa?! Ikiwa tunaweza kugundua leo, je kumeshawahi kufanyika utafiti wa kuanza kutengeneza herufi zetu au ugunduzi ni wa kiteknelogia tu lakini sio maandishi(herufi)?!. Kwa wataalam wa tafiti za lugha kumewahi au wamewahi kuona herufi zozote za kuwakilisha maandishi ya kabila lolote Tanzania?! Je kuna wataalam wale wanaoitwa ma anthropologist wa lugha?! Je wamewahi kutafiti herufi za kuwakilisha mawasiliano ya kimaandishi ya lugha yoyote ya makabila yetu Tanzania?!
Kwa BAKITA kiswahili tunaweza kukiundia herufi zetu mbali ya hizi A to Z?! Je kuna juhudi hizo au mnakuza lugha tu herufi zina mamlaka yake?!
Ni mjadala wa wote kwa yeyote anayejua chochote kuhusiana na hili. Karibuni kwa mjadala.
Mi naamini kulikuwa na michoro iliyokuwa inamaanisha kitu flani. Ama kwenye magome au mapango. Labda tafsiri yake haikupatikana au zilipotea kwasababu za vita na kuhama hama bila mpangilio au vita. Maana hadi leo huwa naona history au geographical channel wakisema kuna alama au michoro kwenye zile pyramid hakuna anayefahamu zilimaanisha nini, licha ya kuwa researched intensively still hakuna ajuaye.Tatizo hizo codes hazikuandikwa. Wahindi walitawaliwa lakini waliweza baadaye kutumia herufi zao katika maandishi ya lugha zao. Sisi bado tulikuwa hatuna maandishi.
Hahaha, u professor naupenda, lakini nikubali mimi sio mtaalam wa mambo ya kale sio mtaalam wa lugha hivyo siyo mtu sahihi kwa hilo.Fanya utafiti ubuni herufi zako na ikiwezekana anza na kabila lako, utapata u-professor kiulaini.
Mkuu naweza kuwa nimetoka nje ya mada. Hili la wabantu kuanzia kameroon nami limenipa tashwishi ya kufahamu. Ulimaanisha wabantu wote tuli originate hapo kameroon?! Kivipi?! Inamaana bara zima hili hapo kale halikuwa linakaliwa na watu?! Vipi kuhusu wale anthropologist wanaodai fuvu zee kuliko yote afrika liligunduliwa huko oldivai gorge, kwanini haikuwa huko kameroon?! Ufafanuzi kidogo mkuu, huu ubantu wetu na watafiti wanaweza kuwa wanalisha matumbo yao kwa kuandika uongo, na kwakuwa hakuna ushahidi wa kuwapinga tukawa tunaeleweshwa ndivyo sivyo. Msaada kwenye tuta ukipata muda mkuu. ShukraniKama kungekuwa na aina ya uandishi, leo hii ungekuwepo kule Cameroon kabla ya kifaransa.
Asili ya Wabantu ni Cameroon.
Wale wachache wasio wabantu kama waethiopia na wamisri wa zamani wana aina yao ya uandishi na Lugha yao complete kama kiaramaic.
Wamasai sio wabantu ni nilotes na wana uhusiano mkubwa na waethiopia, wamasai halisi wana gestures inayotambulisha namba zooote kuanzia enzi na enzi.
Huoni Wabantu wanatafuniwa kiiila kitu, hata herufi rasmi ya kilugha hakijawahi kugunduliwa na kabila lolote lenye asili ya kibantu.
Kwani una uhakika fuvu la mtu wa kwanza lilikuwa la Mbantu?Mkuu naweza kuwa nimetoka nje ya mada. Hili la wabantu kuanzia kameroon nami limenipa tashwishi ya kufahamu. Ulimaanisha wabantu wote tuli originate hapo kameroon?! Kivipi?! Inamaana bara zima hili hapo kale halikuwa linakaliwa na watu?! Vipi kuhusu wale anthropologist wanaodai fuvu zee kuliko yote afrika liligunduliwa huko oldivai gorge, kwanini haikuwa huko kameroon?! Ufafanuzi kidogo mkuu, huu ubantu wetu na watafiti wanaweza kuwa wanalisha matumbo yao kwa kuandika uongo, na kwakuwa hakuna ushahidi wa kuwapinga tukawa tunaeleweshwa ndivyo sivyo. Msaada kwenye tuta ukipata muda mkuu. Shukrani
Mafwi Munda maswali yako ni mazuri sana na yenye kuamsha ari ya kujifunza zaidi.Habari zenu wana bodi.
Huwa najiuliza maswali lakini sipati majibu lakini leo naomba nanyi mnisaidie.
Tanzania tuna makabila mengi na haya makabila yanaongea lugha tofauti. Lakini pia tunaongea kiswahili. Swali langu ni hili ilikuwaje tuweze kuongea lugha tofauti lakini tukashindwa kuwa au kuweza kuandika hizi lugha zetu kwa HERUFI zetu?! Yani makabila yote tulijua kuongea lakini hakuna hata kabila moja liliweza kuwa na herufi za maandishi yake?! Angalia Ethiopia wana herufi zao,wahindi wana herufi zao,wachina wana herufi zao, warusi wana herufi zao,sweden wana herufi zao waingereza wana herufi zao. Sisi Tanzania tulishindwa au tulitegemea ugunduzi wa wazungu kutuwekea vitu vyetu kwenye kumbukumbu na kwakuwa hawakuziweka kumbukumbu inamaana hatukuwa na herufi zetu kweli?!
Je, tunaweza kutengeneza herufi zetu leo au ugunduzi uliishafungwa?! Ikiwa tunaweza kugundua leo, je kumeshawahi kufanyika utafiti wa kuanza kutengeneza herufi zetu au ugunduzi ni wa kiteknelogia tu lakini sio maandishi(herufi)?!. Kwa wataalam wa tafiti za lugha kumewahi au wamewahi kuona herufi zozote za kuwakilisha maandishi ya kabila lolote Tanzania?! Je kuna wataalam wale wanaoitwa ma anthropologist wa lugha?! Je wamewahi kutafiti herufi za kuwakilisha mawasiliano ya kimaandishi ya lugha yoyote ya makabila yetu Tanzania?!
Kwa BAKITA kiswahili tunaweza kukiundia herufi zetu mbali ya hizi A to Z?! Je kuna juhudi hizo au mnakuza lugha tu herufi zina mamlaka yake?!
Ni mjadala wa wote kwa yeyote anayejua chochote kuhusiana na hili. Karibuni kwa mjadala.