Lugola: CAG ameshachunguza nyie mnataka tena Mkachunguze, mnataka mkachunguze nini?

Lugola: CAG ameshachunguza nyie mnataka tena Mkachunguze, mnataka mkachunguze nini?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola amemtaka Waziri Mkuu kuwashughulikia waliobainika kufanya wizi na ubadhirifu kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

“CAG ameshachunguza nyie mnataka tena Mkachunguze, mnataka mkachunguze nini?” Amesema Kangi Lugola Mbunge wa Jimbo la Mwibara mkoani Mara wakati akijadili hoja za Seikali kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Apili 8, 2026.

 
Panya anasema Nani atamfunga paka kengele ikiwa wote ni panya
 
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola amemtaka Waziri Mkuu kuwashughulikia waliobainika kufanya wizi na ubadhirifu kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Hata makofi hawatopiga maana wako hapo hapo
 
Anapingana na samia?samia alisema wasomwe majina ili waone aibu itakayowafanya washindwe kula vizuri vyakula majiumbani mwao
 
Wanapata wapi uhalali wa kuhoji uhalifu wa wenzao wakati hilo Bunge lenyewe halina uhalali?
 
Huyo aliyeambiwa naye ana usafi gani ikiwa alipiga zile za ujenzi wa sgr? Wanatuona manyanyi tu na siyo vinginevyo.
 
Huo sio utaratibu wa CCM wa kuwashughulikia mafisadi!!
 
Back
Top Bottom