Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hata makofi hawatopiga maana wako hapo hapoMbunge wa Mwibara, Kangi Lugola amemtaka Waziri Mkuu kuwashughulikia waliobainika kufanya wizi na ubadhirifu kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).