Lugola: Machawa kundi hatari, wanajificha mafisadi na wabadhirifu

Lugola: Machawa kundi hatari, wanajificha mafisadi na wabadhirifu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Kangi Lugola adai kundi la machawa tushio kwa mipango ya Rais Samia kuwaacha Watanzania na Tabasamu

Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ametoa maneno mazito Bungeni akidai kuna kundi la machawa ambalo litaenda kumkwamisha mipango ya Rais Dkt . Samia ya kuwaacha Watanzania na tabasamu baada ya muda wake kuisha.

Mmoja mmoja wanafungukaa

Kumeanza kuchangamkaaaa

Naonaa kha

Altaaazaaa

Altaaaza

Altaaazaa
 
Hapo samuya atakuwa kafura kwa hasira balaa, kwamba kwann huyu jina lake lilipita?!.
Samuya ni antanzania, ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya watz hususani bara!.
 
Mwashambwa na lile Chawa kubwa jinga BIG SHOW, yatakuwa yamefura! Hayakawii kusema Lugola ni CHADEMA.
 
Kangi Lugola aliwahi kuwaambia trafik gari ina kosa moja sio kama mnavyoandika sijui taa mara brake andika ubovu wa gari faini ni Tsh 30,000 sio kurundika makosa wakati sheria haisemi hivyo jamaa walimchukia sana..
Huyu jamaa akiacha sanaa yupo vizuri sana..
 
Uchawa ulianza kwa kikwete, ukaja kushika hatamu kwa magufuli, nae lugola alikuwa chawa..
Kisha sasa kwa samia imezidi kuliko kwa magu, sijui kwa rais ajae hali itakuwaje..

CCM wameiharibu hii nchi
 
Back
Top Bottom