Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mmoja mmoja wanafungukaaKangi Lugola adai kundi la machawa tushio kwa mipango ya Rais Samia kuwaacha Watanzania na Tabasamu
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ametoa maneno mazito Bungeni akidai kuna kundi la machawa ambalo litaenda kumkwamisha mipango ya Rais Dkt . Samia ya kuwaacha Watanzania na tabasamu baada ya muda wake kuisha.
Yap yapHivi ile video ya lugola akicheza vichura vichura na wacheza ngoma bado ipo mtandaoni..? 😄😄😄
Hivi ile video ya lugola akicheza vichura vichura na wacheza ngoma bado ipo mtandaoni..?
Style zao kama awapo pamoja ili wa trendMmoja mmoja wanafungukaa
Kumeanza kuchangamkaaaa
Naonaa kha
Altaaazaaa
Altaaaza
Altaaazaa
😁Mwashambwa na lile Chawa kubwa jinga BIG SHOW, yatakuwa yamefura! Hayakawii kusema Lugola ni CHADEMA.