John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Sioni tatizo lolote tume iundwe tu ila tusisahau na hao waliotajwa maana wengine tuliambiwa tu " dissapeared and dead" familia zao zinahitaji kuujua ukweli pia na umma wa watanzania.Ameandika kuwa " Kifo Cha Magu ,hakina utata wowote"
Jiulize, HOFU yake juu ya uchunguzi inatoka wapi ikiwa hakuna utata?
Tume ziundwe dukuduku za wananchi ziondoke.Sioni tatizo lolote tume iundwe tu ila tusisahau na hao waliotajwa maana wengine tuliambiwa tu " dissapeared and dead" familia zao zinahitaji kuujua ukweli pia na umma wa watanzania.
Nahoja ila vyema ukakaa kimyaaaMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Nachojua Raisi hashitakiwi amewekewa kinga kuu.Siungi mkono kuwa akamatwe ajibiwe kwa hoja tu.
Acha hiyo movement ianze pia ndio zitaibuliwa kesi nyingine pending na madhila mengine yaliyofanyika wakati huo na serikali kama imefumba macho.
Tujue ukweli kuhusu Ben Saanane na Azory Gwanda.
Kufariki kwa Leopold Lwajabe.
Kutekwa na kuteswa kwa Roma Mkatoliki(huyu alikimbilia uhamishoni kabisa hadi leo baada ya kuachiwa huru) , Mohamed Dewji
Pia tufahamu waliokuwa nyuma ya shambulio la Tundu Lissu pale Dodoma .
Uvamizi wa studio za Clouds Media Group
Na wafungwa wote wa kesi za kisiasa kuanzia 2016 mchakato wa kuzisikiliza uanze kwa kasi.
Pesa za plea bargain zilizokuwa zinachepushwa benki za Uchina (2019 na kuendelea ) kama alivyosema Samia mwaka jana.
Waliokuwa nyuma ya kesi za uhujumu uchumi ambazo DPP baadae aliweka mpira kwapani na kutimua mbio(hapa tuangalie namna gani wahusika waliochafuliwa majina yao wanarudishiwaje "reputation" zao kwenye jamii japo wengi baada ya kusota gerezani walipoachiwa walienda kuishi uhamishoni.
Familia za waliopoteza maisha kwenye ule "Ushenzi" mkuu 2020.
Na kesi nyingine nyingi ambazo hazikuwahi kutangazwa kutoka na ile sheria kandamizi ya mawasiliano ambayo ilipita kwa hati ya dharura ili kufanikisha mikakati ya watu wachache naamini watu watajitokeza.
Naamini tunatakiwa kuliita koleo kwa jina lake sio kijiko kikubwa .
Mnaogopa nini?,mlimfanya nini Magufuli?Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Hivi system ni nini? Nachojua mama kafumua TISS na kajaza watu wake sasa sielewi mnaposema system ni nini? Ni kompyuta kwamba iko programmed? Kwanza hao system unadhani hawamtaki Samia? Kwamba wanataka Rais anayepinga ufisadi? Ili na wao wasiibe? Deepgreen, Meremeta n.k pesa zililiwa na jeshi lilihusika. Cha ajabu huwa mnatengeneza image kuwa Tiss/JWTZ Ni malaika fulani hivi!!System ni kama inamuandaa kuwa hivyo alivyo umuonavyo!!
Hamna system" inaweza mtumia looser kama Mpina. Huyu ana hasira za kukosa uwaziri tu wala hamna mtu anaweza mtumia. Kama hao system wanampenda mbona hawakumsaidia alipoangushwa ujumbe wa NEC mkoa na taifa?. TISS haiwezi mtumia mtu asiye na influence. HIshu ya kifo Cha Rais ni ishu nyeti ukiona anaiongelea ujue ana baraka ya mfumo kuiongelea!!
Na kama system ikiwa serious utaona impact yake Kwa mwenendo was serikali hii!!
hakuna lolote, Mama ndio mwenyekiti wenu hadi 2030 hayo sijui system blah blah ni binadamu tu kama wewe so wanaweza badilishwa it's not like ni kompyuta kwamba iko fixed. Nchi ingekua na system serious kama unayoidhania ipo basi JPM asingekua mgombea 2015 na wala asingewahi kupata Urais. Yaani mtu mgonjwa ana survive kwa betri mnampa Urais!!Kuna jambo linahalalishwa kufanyika kupitia hiyo move!!
Toeni unafiki hapa, kipindi Chadema wanapiga kelele mlikua mnawakashifu mkiongozwa na Chalamila. Cha ajabu baada ya kifo chake leo ndio mnajifanya mna uchungu naye? Kwani mngeungana na kina Lissu kumuulizia JPM mngepoteza nini kuliko sasa ambapo ni too late!!Mnaogopa nini?,mlimfanya nini Magufuli?
Kosa la Mpina ni nini kwa uchunguzi huru ukifanyika unaogopa nini kama tatizo linafahamika neno wazuri hawafi alikutoka bahati mbayaMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Hicho ni kitu kipo wazi mbona, labda hufuatilii
Wewe una taarifa nyeti kuliko aliyekuwa mkewe?Hicho ni kitu kipo wazi mbona, labda hufuatilii
Mkewe alihojiwa lini? Na wapi?Wewe una taarifa nyeti kuliko aliyekuwa mkewe?
Mkewe alipohojiwa kuhusu jambo Hilo, alishangaa, na kusema mumewe hakuwahi kuwa na tatizo Hilo.
Wasiwasi wako kuhusu uchunguzi ni upi Hasa?
Wewe na mkewe, nani mwenye taarifa sahihi?Mkewe alihojiwa lini? Na wapi?
Nenda UDSM pale utapata taarifa
HaswaNi mmoja wao huyo!!
Ametuvusha salama kipindi cha Covid-19.
Hivi kwa akili yako corona inaweza kuondolewa kwa maombi? Na ndio maana ilimuondoa
Corona ndio imemuua Magufuli, kijazi, Maalim Seif, Balozi Mahiga na watanzania wengine wengi. Lile zee la propaganda lilikuwa likiwadanganya eti maombi yameodoa Corona, tangia lini maombi yakatibu janga? bahati nzuri amekufa