Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Magufuli kashakufa,Kama hamtaki kuongozwa na Samia,hamieni Somalia mbuzi nyie,

Huyo Kalemani wenu msitegemee kama atarudi nishati au kupewa Tena uwaziri,,msahau kabisa kabisa


Sawa… ila aliekuwepo ajiuzulu amepwaya
 
Sawa kwa uliyoyasema haya twambie mradi wa bwawa la Nyerere kwann umechelewa?
 

Hili ni jambo ambalo watanzania wengi tunapaswa kulikemea, linaonekana wazi kabisa...kuna vitendo vya chini kwa chini kwa manufaa ya wajinga fulani huku wanaoteseka ni Watanzania..
 
Watu wa jiwe mnakazi na mnakazi sana na mtakubali tu kua jiwe alishatoweka harudi na hatorudi
Sukuma gang ebu kaeni kwa kutulia

Kwahio km kaondoka ndio waziri akoseshe mapato ya serikali kirahisi tu…halafu tupige makofi sababu yeye ni mtoto wa mfalme
 
Asante Sana kwa kuzidi kujifunua kuwa kumbe mna ajenda yenu nyie kama nyie na wala hamna ajenda za kitaifa!

Kwa taarifa yako hayo mambo mtafanikiwa huko kwenu kwa asili Rwanda na Burundi SIO TANZANIA


Wewe kwenu wapi Kenya, Zambia, Malawi ama Congo
 
Huyo Samia hawezi mtoa ( coz udini,uswahiba ukikwete )...Hadi kufika 2025 nchi itakuwa na skendo hazijawahi tokea
 




nne kama nne, ujamaa kwisha habari yake!
 

anaekunja nne ndio boss, boss kama boss!
mpina aache kelele
 
Sawa kwa uliyoyasema haya twambie mradi wa bwawa la Nyerere kwann umechelewa?
Ulichelewa kwa sababu Magufuli hakuchukua mkandarasi sahihi ambaye alichukua tender akawa anasuasua mwishowe kawapa wachina ndo wanajenga
 
Unamtisha nani wee mbulula

Alichokosea nini hapo km sio kutetea wananchi na nchi yetu kwa ujumla
Anatetea kwa kutunga tuhuma za uongo? Kwamba Waziri Makamba ndio anaweza hujumu mradi wa maslahi ya Nchi? Na Ili iwaje?

Acha upuuzi,ndio nakwambia nyie sukuma gang mtampoteza na huyu mliyemtanguliza kuwa condom
 
Ulichelewa kwa sababu Magufuli hakuchukua mkandarasi sahihi ambaye alichukua tender akawa anasuasua mwishowe kawapa wachina ndo wanajenga
Ulimsikiliza CAG juzi aliposema TANESCO imelipa fine ya tsh 18 billion kwa kukata umeme na kupelekea mkandarasi kuchelewa kufikia milestone za mradi.

Magufuli anahusika vipi hapo au incompetence ya wizara na mkurugenzi wa shirika sio tu kuchelewesha mradi na kupoteza mapato juu.

Its time someone gave Makamba ‘a taste of his own medicine’ that is majungu kama alivyozoea.
 
Ulichelewa kwa sababu Magufuli hakuchukua mkandarasi sahihi ambaye alichukua tender akawa anasuasua mwishowe kawapa wachina ndo wanajenga
Kama hivyo kwann waziri arushe vijembe na huku ana majibu ya msingi, kuhusu tozo ya sh 100 kwenye mafuta kuiondoa kinyemela bila kufuata taratibu za bunge na hapo unamtetea??
 
Huyu mwendakuzimu alisema kabisa hadharani alihitaji waziri mwehu, akamchagua Luhaga Moina, na wakashangilia, kwangu huyu ni mwehu Ka bosi wake wa zamani alivyotuelezea! Yupo kundi la wehu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…