Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Wasukuma Washamba sana

Mpina alipokua Uvuvi alifanya nini??? Zaidi ya uchafu tu

Wakati wake umepita, akae kwa kutulia
 
Zanzibar, mafuta hayajapanda wao wanayatoa wapi?
 
Makamba toka mwanafunzi alikuwa incompetent hata yeye mwenyewe analijuwa hili. Huyu dogo anabebwa kwa sababu baba yake yuko chamani na ni mnafiki sana na ndiyo maana hata marehemu Magufuli aliligundua hili kuwa dogo habebeki na kumtema. Baada ya kutemwa akajiunga kwenye mkono wa waasi kutaka kumuanguasha Magufuli na bahati nzuri akadakwa akiteta kisha kuomba samahani ya kinafiki. He's like his father if not worse. Wanaume wa Kisambaa sawa tu na Wazaramo au Wapemba kwa unafiki.
 
Wadau msisahau issue ya deni la kukatika ovyo kwa umeme wanalodai jamaa wanaojenga bwawa la Nyerere ni bilioni nyingi.

Alisema lazima umeme ukatike kwa sababu ya matengenezo sasa kuna madeni lukuki, aje atueleze nani atalipa.

Msichukie; kila kitu kitakuwa wazi hata kama mwamba hayupo.
 
Waziri amejikita kwenye Tanesco tu.

Labda kwa sababu Mandondo ndio Maharagwe kwa kiswahili.

Waziri ana nia njema lakini nia hiyo asiitimize kisiasa awe kikazi zaidi!
Tanesco yenyewe inamhujumu rais kwenye mradi ya jnhpp kwa kumkatia umeme mkandarasi, matokeo yake sasa serikali inadaiwa mabilioni ya pesa.
Huyu januari hakuna kitu kabisa ni boya tu.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Majiraniii tayari huku unabii wa Lissu umetimia kwa ukamilifu

Leteni kuni tuchochee moto. Ama kweli maisha yanenda kasi sana. Haya Ndg. Elitwege ni wakati muafaka kubadilisha Avatar yako sasa. Ukisikia leo kwako kesho kwangu ndio hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Luhaga Mpina 2025 tuko pamoja kuelekea chamwino​

 
Makamba kazi anayoiweza zaidi ni kupost na kushinda kwenye mitandao akidanya watu kuwa ni smart kumbe ni bonge la boya limetulizana hapo, unaipa hasara serikali ya bil32, halafu ulivyo hujitambui una panda ndege kwenda nje kuomba msaada au mkopo wa upgrade mitambo ya Tanesco, hii nchi ni bure sana.

Mpina ana hoja kubwa sana , tuachane na ukanda au kabila la mtoa hoja tujikite kwenye hoja ya msingi, huyu mtu ana takiwa kuajibika kwani ata bebwa hadi lini?
 
Aache majungu na kubweka bweka. Alipokuwa Waziri wa mazingira na pia mifugo alifanya jambo gani la ajabu kwa Taifa!
Ko hadi afanye maajabu ndo akosea wengine la sivyo ni kukaa kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…