Pre GE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Judicial Review inasema, unaweza pinga maamuzi ya Mamlaka yeyote ikiwemo Bunge chini ya spika.

Wewe unasema huwezi fanya hivyo? 😂
Sawa.

Lakini kuweza kuanzisha pingamizi si sawa na kufanikisha pingamizi lipate hukumu favorable mahakamani.

Unaruhusiwa kunishitaki, lakini, kunishitaki huko hakumaanishi mahakama itaisikiliza kesi yako na kuhukumu unavyotaka.

Mahakama inaweza kusema hii kesi haina merit tunaitupilia mbali.

Kwa nini unachanganya mawili haya?
 
It’s funny thing when you interpret laws based on logic.

In law logic doesn’t have legal effects and hence non binding. What’s written on statutes is what court would be interested to know not fallacies etc.

So don’t confuse the two.
 
I am not merely using logic.

Nimekwambia nipe precedent kutoka Commonwealth Country/ Westminster parliament Speaker alipohukumiwa na mahakama kwa kosa la kazi za kibunge.

Hujaweza kuweka hiyo precedent.

Ila Tanzania kuna kesi mahakama ilikataa kuisikiliza kwa kusema haya ni mashauri ya Bungeni, rudini mkayamalize bungeni. Mahakama haitaki kuingilia mambo ya bunge.
 
Hahitaji kuwa mtabiri kujua hizi Mahakama zetu.

Rosta Aziz, aliwahi gusia jinsi Mahakama zilivyo.

Hilo halifanyi nibadili msimamo wangu kwamba Kisheria Mahakama ina nguvu ya kupitia maamuzi ya Mamlaka yeyote unayoijua wewe na kutoa oda pale inapofaa, ikewemo maamuzi ya spika kama Mamlaka ya Bunge.
 
Mahakama inaweza kutoa hukumu kuhusu uendeshwaji wa mhimili unaojitegemea wa Bunge na Spika?

Hukumu hiyo haitaharibu uhuru wa Bunge kama mhimili unaojitegemea?
Nadhani Mpini ameshtaki watu sio mihimili. Mi sioni mkanganyiko japo mi si mwanasheria!

Hizi kesi zina umuhimu sana kupunguza kujisahau kwa watawala. Hata Mpini akishindwa kuna kitu kitabadilika bungeni na sirikalini umakini utarudi
 
Mahakama kuwa zinatoa hukumu fulani kwa amri kutoka juu haimaanishi kwamba Mpina hawezi kupeleka kesi isiyo na merit mahakamani akashindwa on the merit.

To think otherwise is a non sequitur fallacy.

Mahakama kuwa na nguvu ya kupitia maamuzi ya mamlaka yoyote haina maana itapitia.

That is another non sequitur fallacy.

Mathalani, mteule wa Rais aliyetenguliwa na Rais akienda kushitaki mahakamani, shauri lake litatupiliwa mbali, kwa sababu Rais ni mkuu wa muhimili, teuzi na tenguzi zake hazihojiwi mahakamani.

Kwenye uchaguzi wa rais, rais akishatangazwa na Tume ya Uchaguzi, matokeo hayo kwa sheria zetu hayapingiki mahakamani.

Maamuzi ya Spika katika kuendesha bunge, hayahukumiwi na mahakama.

Mifano mingi tu.

Sema inaonekana una fantasy yako unayoiendekeza.

Utapigwa na kitu kizito halafu uje ulielie kusema "mahakama zinaendeshwa kwa amri kutika juu" wakati hili ni jambo wazi kabisa.

Mahakama haitamhukumu Spika kwenye kesi ya kuwndesha Bunge.
 
Nadhani Mpini ameshtaki watu sio mihimili. Mi sioni mkanganyiko japo mi si mwanasheria!

Hizi kesi zina umuhimu sana kupunguza kujisahau kwa watawala. Hata Mpini akishindwa kuna kitu kitabadilika bungeni na sirikalini umakini utarudi
Sijasema kashtaki muhimili.

Nasema hivi, Spika, mtu, hasthitakiki mahakamani.Kuna sheria ya kumlinda. Kuna parliamentary immunity. Kuna separationnof powers.

Kwa hiyo Mpina ashitaki wengine lakini kupeleka kesi ya kumshitaki Spika mahakamani mahakama haitaisikiliza.

Mahakama itasema hili ni suala la Bunge, kalimalizeni Bungeni. Mahakama haiingilii mambo ya Bunge.
 
Hapana.

Sijashindwa kuleta precedents, in fact, nimekuletea case ya India ( Common Law Country) ambapo maamuzi ya spika yalibatilishwa na Mahakama.

Nime attach files, usome.

Nina quote “The SC found that the Speaker’s action not only amounted to denial of principles of natural justice to the appellants, but smacked of bias.”

Kupitia Judicial Review, ombi la kupinga maamuzi ya Spika, Yalikubaliwa ( leave to petition for judicial review was granted) na Mahakama ya Juu ya India ( Supreme Court of India- SCI) na baadaye maamuzi ya spika yalitenguliwa kwa kukiuka haki za asili ( Natural Justice).

Mpina, ana haki ya kupinga maamuzi ya spika Tulia Ackson na Mahakama ikiona alikiuka sheria, ina uwezo wa kutengua maamuzi pamoja na kumpa relief Mpina.
 

Attachments

Parliamentary Immunity & Separation of power are not excluded from JUDICIAL REVIEW.

Why don’t you get it ? 😂
 
Hapa napo unapuyanga pia.

Ulichotaka kueleza ni outcome ya kushitaki, ambayo inaweza kuwa favorable for one party while unfavorable to another party, this doesn’t necessarily mean unfavorable outcome of case on part of plaintiff would be because there’s no merit of case. WRONG!

Unfavorable outcome of case can be a number of things, some of which can be attributable even to biases of presiding judge(s).

Unfortunately , Court Registrar, one appointed by President is the one assigning cases to a specific judges 😹
 
Mahakama inaweza kutoa hukumu kuhusu uendeshwaji wa mhimili unaojitegemea wa Bunge na Spika?

Hukumu hiyo haitaharibu uhuru wa Bunge kama mhimili unaojitegemea?
Ameshitakiwa tulia(betina)
Kwamba wewe una akili kuliko mawakili 100???
 
Kinachowaponza wasukuma ni kukosa utulivu na misimamo ya hovyo.unawezaje kumshitaki bosi wako? Yeye ndiye aliyekuapisha then unampeleka mahakamani? Hivi Leo CCM ikiamua kumfukuza uanachama ana uhakika Gani kwamba akihamia upinzani atashinda? Wasukuma tuwe tunakubari ushauri
 
Bunge kama sehemu mojawapo ya mihimili,Kiongozi wake Mkuu Spika anafunguliwa mashitaka kwenye mihimili mwingine,kuna shida mahala.

Nadhani huko ni kuingilia mihimili mwingine kutekeleza majukumu/maamuzi yake.

Kwa upande mwingine shauri hilo linaweza kupelekea baadhi ya kanuni na Sheria za uanzishwaji na uendeshaji wa Bunge zikapitiwa upya.

Kinga niionayo kwa Mh.Spika ni kuwa sio yeye aliyependekeza adhabu bali lile lilikuwa ni azimo na michango ya wabunge.

Sema tu kuna swali la kwanini wabunge wa mahala pengine kuchangia mbunge mwenzao anayewakilisha wananchi wa Jimbo lake na Taifa kwa ujumla asimamishwe kwa muda mrefu,Je ni nani atakuwa mbadala wa aliyesimamishwa?
 
Una maana gani kwamba separation of powers Bongo haipo?

De facto au de jure?
Serikali iliwahi kumfukuza kazi spika, au hufahamu hili? Au unakubaliana kuna mhimili mmoja umejichimbia zaidi?
 
Mahakama ndiyo Mhimili wenye mamlaka ya kutafusiri Sheria zinazotungwa na bunge au Serikali na kuagiza ipasavyo,kama zinakinzana na Katiba ya nchi
 
Weka kesi ya Spekaker wa bunge la sovereign state, hivyo vibunge vya kata vya Maharaja sitambui vinafuata mfumo wa Maharaja gani.
 
Ukiangalia mambo mengi ni marudio tu
 
Parliamentary Immunity & Separation of power are not excluded from JUDICIAL REVIEW.

Why don’t you get it ? 😂
Kwani nani kasema they are excluded?

Why are you repeating this logical non sequitur fallacy?

Mimi nakwambia hata zikiwa reviewed, mahakama itakataa kusikiliza kesi ya Spika kuhusu anavyoendesha bunge.

Wewe unaniambia kuna Judicial Review.

That is a logical fallacy, logical non sequitur.

Just because there is judicial review, that does not guarantee that the court will take a case against the Speaker regarding how she runs the parliament.

Logical non sequitur fallacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…