Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hao hao wa ccmWabunge wa chama gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hao wa ccmWabunge wa chama gani
Mkuu nafikiri unaitafsiri "separation of powers" na "checks and balance" ndivyo sivyo.A double whammy.
Ila tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, mahakama ikikataa kusikiliza kesi ya Spika, kwa sababu za halali za separation of powers, watu watasema mahakama imekataa kwa amri kutoka juu.
Hapa umechanganya concept, kwani chombo Cha mwisho Cha utendaji haki ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania si tulishakubaliana Ni mahakama as per CURT?Mahakama inaweza kutoa hukumu kuhusu uendeshwaji wa mhimili unaojitegemea wa Bunge na Spika?
Hukumu hiyo haitaharibu uhuru wa Bunge kama mhimili unaojitegemea?
Hapana sio sahihi,Jambo la msingi ni kwamba mahakama haitakiwi kuhukumu shauri la Bunge linavyojiendesha.
Mbunge akiweza kushitaki hata kwa mizimu aende tu.
Bunge halitakiwi kuingiliwa linavyojiendesha, likiingiliwa kuna hatari ya muhimili kuongozwa kwa remote control.Mkuu nafikiri unaitafsiri "separation of powers" na "checks and balance" ndivyo sivyo.
Kiuhalisia checks and balance ni kuzuia mhimili mmoja usivuke mipaka yake ya kiutendaji au usikiuke katiba na sheria zilizokubaliwa kuongoza utendaji wa mhimili husika na pale ambapo huo mhimili unavuka au unakiuka taratibu zake zilizokubaliwa/kuwekwa basi mhimili mwingine uwe na uwezo wa kuurudisha mstarini au kufanya remedy.
Hata kama ni suala la uendeshwaji wa bunge so long ni suala linalohitaji tafsiri ya sheria mahakama itimize wajibu wake. hakuna mtu au chombo kilicho juu ya sheriaMahakama inafuata sheria. Usifanye kosa la kuchanganya sheria na haki.
Mahakama zishawahi kutupa kesi za mashauri ya bunge kwa msingi wa kutenganisha nguvu za Bunge na Mahakama.
Nimeuliza swali hujanijibu, sijui kama hata umelielewa.
Mahakama haiingilii Bunge. Hii ni mihimili tofauti na yote inajitegemea. Sijui watu hawaelewi hii kanuni au vipi?
Hii kesi ya Spika na masuala ya Bunge linavyoendeshwa itasikilizwaje na Mahakama bila Mahakama kuingilia uhuru wa Bunge?
Huoni kwamba Mpina alitakiwa kwenda Bungeni na kuweka motion ya kumpigia Spika kura ya kukosa imani, Spika awe impeached? Wabunge wamalize mambo yao Bungeni bila ya kuingia kwenye mtego wa kupeleka kesi Mahakamani halafu Mahakama ikatae kusikikiza kesi kwa sababu ni jambo la uendeshwaji wa Bunge, na Mahakama haiwezi kuingilia mambo ya uendeshwaji wa Bunge?
Sawa.Hata kama ni suala la uendeshwaji wa bunge so long ni suala linalohitaji tafsiri ya sheria mahakama itimize wajibu wake. hakuna mtu au chombo kilicho juu ya sheria
Na hata kusema "hili suala la kumshtaki Spika kwa jinsi alivyoendesha Bunge ni suala la Bunge, kalimalizeni Bungeni" ni sehemu ya kutafsiri sheria, kanuni na taratibu hizo.
Na kuna precedent ya hili la kurudisha kesi Bungeni. Mahakama ishawahi kufanya hivi, ikifanya tena haitakuwa mara ya kwanza.Kazi
Kazi ya kutafsiri sheria ni ya Mahakama sio Bunge.Na hata kusema "hili suala la kumshtaki Spika kwa jinsi alivyoendesha Bunge ni suala la Bunge, kalimalizeni Bungeni" ni sehemu ya kutafsiri sheria, kanuni na taratibu hizo.
Na kuna precedent ya hili la kurudisha kesi Bungeni. Mahakama ishawahi kufanya hivi, ikifanya tena haitakuwa mara ya kwanza.
Weka precedent kutoka Commonwealth/ Westminster parliament system ambayo si banana republic hapa. Precedent ya Spika ameshitakiwa na kuhukumiwa kwa kesi ya alivyoendesha Bunge.Precedents lazima ziwepo, ni suala la kuzitafuta.
Hata kama sio Tanzania, kwasababu sisi ni Common Law country, tuna weza import legal precedents from UK S2(3), Judicature and Application of Laws Act.
Kusema "hili ni suala la Bunge, si la mahakama, kamalizeni suala hili Bungeni" ni kutafsiri sheria pia.Kazi ya kutafsiri sheria ni ya Mahakama sio Bunge.
Kumrudisha Mpina bungeni akatafsiriwe sheria na spika wakati ipo Mahakama yenye kazi hiyo ni jambo la ajabu.
Kwanza kurudi saivi haruhusiwi mpaka amalazie adhabu ambayo kimsingi anadai imekiuka sheria.
Parliamentary immunity imewekwa na sheria, Mahakama chini ya ibara 64(5) ya Katiba, ina uwezo wa kubatilisha sheria inayokinzana na Katiba na ku oder the same to be struck off from statutes.Ukifuata utawala wa sheria, mahakama haivunji parliamentary immunity
Unachanganya kitu hapa, nahisi hii ndio sababu huelewi dhima ya kesi ya Mpina.Sawa.
Ndiyo maana Mpina kapeleka kesi mahakamani, hajakatazwa.
Na mahakama itamwambia kuwa kwenye suala la kumshitaki Spika, mahakama haiwezi kuhukumu, hili ni suala la Bunge.
Unaelewa kuwa Bunge lilitunga na kupitisha sheria ya immunity ambayo imemuwekea Spika kinga dhidi ya kushitakiwa?
But how is parliamentary immunity inconsistent with the constitution? This is an old tradition in Commonwealth countries and Westminster parliaments.Parliamentary immunity imewekwa na sheria, Mahakama chini ya ibara 64(5) ya Katiba, ina uwezo wa kubatilisha sheria inayokinzana na Katiba na ku oder the same to be struck off from statutes.
Hivyo, chini ya utawala wa sheria, Mahakama ina uwezo kikatiba kuvunja parliamentary immunity so long it’s inconsistent with Constitution.
I will say this again.Weka precedent kutoka Commonwealth/ Westminster parliament system ambayo si banana republic hapa. Precedent ya Spika ameshitakiwa na kuhukumiwa kwa kesi ya alivyoendesha Bunge.
Unaelewa kwamba Tanzania imepitisha sheria ya immunity kumkinga Spika, na viongozi wengine wakubwa wa serikali kushitakiwa mahakamani?
Speaker ni Authority, unakubali hili?Kusema "hili ni suala la Bunge, si la mahakama, kamalizeni suala hili Bungeni" ni kutafsiri sheria pia.
Kwenye suala la kumshitaki Spika, Mpina hatarudishwa Bungeni akatafsiriwe sheria.
Mpina atarudishwa Bungeni na kuambiwa mahakama haimuhukumu Spika kwenye suala la Spika kuendesha Bunge, pia, kuna sheria ya kumkinga Spika asishitakiwe mahakamani. Hilo ni suala la Bunge, si la mahakama. Hiyo ndiyo sheria.
Spika kamfukuza Mpina vikao 15 bungeni. Mpina analalamika kaonewa.Unachanganya kitu hapa, nahisi hii ndio sababu huelewi dhima ya kesi ya Mpina.
Anachopinga Mpina ni maamuzi ya spika kumzuia asihudhurie vikao 15 mfululizo Bungeni. Na sio kumshitaki spika kama yeye, NI MAAMUZI YA SPIKA. Kwamba yalikiuka sheria & utaratibu uliopo kwe National Standing Order of National Assembly, 2023.
Speaker ni Authority, unakubali hili?
Kama ndio, authorities zote zinaweza kuwa challenged kisheria kupitia judicial review kwenye maamuzi yake.
Wapi huelewi?
Kanuni ya Maisha haitaki mambo ya yesterdays bhana, ni todays na the future huko.Sahihi....ila mpina why now?