Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hata mimi nimemuongelea Tulia, sijamuongelea mwingine. Kwani kuna Spika mwingine wa Bunge la Tanzania.Ameshitakiwa tulia(betina)
Kwamba wewe una akili kuliko mawakili 100???
Wanasheria wanachukua kesi kwa sababu nyingi, wengine wanataka ku force judicial review, wengine wanataka hela tu, wengine wanataka majina yao yaliyosahaulika yakumbukwe.
Kwa hiyo hata wangekuwa wanasehria 1,000 hilo halina maana sana. Hapo utakuwa umechanganya logical fallacy ya appeal to popularity na argument from authority. Kwamba wanasheria wengi wakiunga mkono jambo, lazima liwe la kweli, na kwamba mwanasheria akisema kitu kuhusu sheria, lazima kiwe kweli. Both are logical fallacies.
Pia, mashitaka ni zaidi ya kumshitaki Spika, anashitakiwa Bashe, anashitakiwa Attorney General, inawezekana wakafanikiwa kwa hao, huko sina shida, ila kwa Spika wakashindwa.
Huelewi wapi?
Unaelewa kuna sheria ya kumkinga Spika dhidi ya kushitakiwa mahakamani?