zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha kupindisha mambo nilisema humu uongo wa Mpina aliowahi sema bungeni specifically uongo wa Trillion 30 eti zilifisadiwa ndani ya bajeti moja!! Na kwamba miamala shuku ipo ya Trillion 120!! Na hata wewe mtetezi ulikosa ushahidi so ndio basis ya kumuita muongo.Hahaha kuna watu hawampendi watakuja kupinga. zitto junior Karibu tena usikie uongo wa Mpina huku.
Hahaha ulidandia treni, mjadala ulikuwa huu huu wa Bashe na Mpina wewe ukaleta hbari ambazo wengine hatukuwa nazo. Mpina aliishapeleka ushahidi kama kawaida na spika ata clear soon fuatilia. Bashe aliisha sema siku ile ile kwamba"Mpina yuko sahihi, NERF ndio walibadili kanuni za uagizaji".Acha kupindisha mambo nilisema humu uongo wa Mpina aliowahi sema bungeni specifically uongo wa Trillion 30 eti zilifisadiwa ndani ya bajeti moja!! Na kwamba miamala shuku ipo ya Trillion 120!! Na hata wewe mtetezi ulikosa ushahidi so ndio basis ya kumuita muongo.
So kabla hujatafuta attention jibu hizo hoja na lini aliwahi peleka ushahidi bungeni.
Kuhusu hili la Bashe maadam aliambiwa apeleke bungeni tusubiri majibu ya Bashe ili kubalance mjadala.
Unachekesha kweli kweli, yaani Rais hana taarifa? Rais through proxy - yaani Abdul and the team- syndicate wapo kazini. Bashe hana ubavu wa kufanya hizi deal bila ya kule juu. Sawa na kusema ati Daudi Balali alito pesa EPA bila kule juu kutojua. Ofisi ya juu inakupa moyo/confidence ya kufanya; kuwa wataku-protect na wewe unaingia mkenge!!Ujambazi nchi hii umeshindikana.
Matajiri wengi ni wezi.
Mpina ana hizi taarifa halafu eti Raisi wa nchi hana!!!
Mpina bila shaka ana watu nyuma yake na ndio waliomuwezresha kuaanda hii ripoti. Hajakurupuka.
Bashe na Mwigulu wajiuzulu ingawa huu si utamaduni wa CCM,
Hapa Bunge liunde kamati teule kuchunguza hii kashifa na Mpina awe mjumbe.
Hata Mimi nilikuwa nimeshaingia king.Ukimsikiliza na kumwangalia Bashe utadhani ni makini na mzalendo hasa kumbe bure kabisa yaani
Kama CCM wakimteua Mpina kuwa mgombea urais wao 2025 nitampigia kura. Ni moja ya watu wanaojitambua waliopo ndani ya bunge.
Au niseme ndio mtu pekee anaejitambua hapo mjengoni.