zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha kupindisha mambo nilisema humu uongo wa Mpina aliowahi sema bungeni specifically uongo wa Trillion 30 eti zilifisadiwa ndani ya bajeti moja!! Na kwamba miamala shuku ipo ya Trillion 120!! Na hata wewe mtetezi ulikosa ushahidi so ndio basis ya kumuita muongo.Hahaha kuna watu hawampendi watakuja kupinga. zitto junior Karibu tena usikie uongo wa Mpina huku.
So kabla hujatafuta attention jibu hizo hoja na lini aliwahi peleka ushahidi bungeni.
Kuhusu hili la Bashe maadam aliambiwa apeleke bungeni tusubiri majibu ya Bashe ili kubalance mjadala.