Luhaga Mpina anaongozwa na chuki na ukabila kuliko uzalendo na ukweli. Ushahidi huu hapa

Shida ni ccm hakuna ukabila
 
Umekuja hapa kujipambanua kama wakili wa watu wa mtaani, sasa nakutuma ukawaite hao mabosi wako wa mtaani niwajibu wao, wewe nalona umejaa porojo tu hapa.

Wewe hukai mtaani?
Mpina ametoq hoja zake kwa evidence, wewe na mleta mada kwa ufinyu wa fikra zenu badala ya kuzijibu kwa facts, mnalet habari ya ukabila, ukanda, chuki, na udini.

Hivi hamjioni mlivyo weupe kichwani?

Nani kabisha Facts za Mpina Hapa?
Swali kûbwa ni "Kwa nini afunguke Sasa na siô kipindi cha Nyuma?"

Kûna Watu waô wakiongea mbona hawahusishwi na Ukabila au Udini? NI Kwa sababu wamejipambanua.
Wao Siku zote huongea, Kama kina Tundu Lisu, Jenerali Ulimwengu n.k.

Ukishakuwa na mawe mawili ya kupimia lazima Watu wakuhusishe na ubaguzi íwe WA kidini, kiukabila n.k.

Nasisitiza, hoja za Mpina ziko Sahihi. Lakini mtoa hoja anamawe mawili ya kupimia
 
Kwanini Mh Mpina ana hoja nzuri lkn Wabunge wote wa Bunge la Mwenda zake wako kimyaa?
 
Siasa za Kibongo zinaenda kwa wivu tu.

Kuna watu walikuwa wanamponda Magufuli wakati ule lakino leo wanamsifia Samia wakati akifanya makosa yale yale aliyokosea Magufuli

Unajiuliza ina maana walikuwa wanamponda Dr Magufuli kwa sababu ya chuki tu?

Cc
The Boss, Faiza Foxy, Choicevariable
 
Huyu Ngosha ana matatizo.
 
Mimi nilikuwa critical sana kwa JPM, kuna vitu ni kweli, hasa human rights; kuhusu ufisadi kila wakati mnaleta tuhuma lakini hakuna mtu Ambaye ameweka hapa vielelezo vya ufisadi wa JPM. Mpina ametoa kila kitu anatuonyesha evidence, sasa kwa nini unakuwa una doubt? Uislam unakujaje kama evidence zipo na zinaonyeshwa? Kama huna evidence kaa kimya.
 
Mleta mada ni popoma siku zote hataki mama yake chura kiziwi aguswe kwa lolote!
 
Nilitaka nikujibu kwa hekima, ila ngoja nikujibu kipuuzi kama ulivyouliza.
Nakuuliza swali, wewe ambapo huwa unamlaumu magufuli, wkt kuna rais mwingine, huwa unamaanisha nini?!
Cc; denoo JG ,

NB: Nilifikiri una uwezo wa kupambanua muda na mantiki kumbe ushabiki unaweza kukupumbaza ukawa mjinga wkt flani. Makamba ni nani asisemwe.

Wanasemwa hadi kina Mkapa, kina Nyerere, kwani hatuna marais wengine saivi.?!
 
Kajamaa ni kapumbavu sana!

Ukimgusa Makamba na Samia huwa kana kuwa kqkali kama pilipili
 
chawa utateseka sana
tulia ulambe dawa
 

Mkuu hakuna anayepinga hoja za Mpina. Hata Mtoa Mada hajapinga yaliyosemwa na Mpina.
Hoja ya Mtoa Mada NI Ukabila.
Swali la kujiuliza je NI kwèli Mpina NI mkabila? Mtoa Mada Katumia kigezo gàni kumfanya Mpina awe Mkabila?
Hoja pekee àmbayo inaweza kuwa na Ñguvu ni Ile ya Mpina Kutokuwa active Wakati wa JPM kuhusiana na madudu ya Wakati wa JPM mathalani 1.5Tr kutojulikana Ilipo.
Ukimya wake unaweza kuchukuliwa na baadhi ya Watu kuwa huenda NI Kwa sababu wote wanatoka ukanda mmoja u wôte NI Wasukuma japokuwa inaweza isiwe kweli lakini Huwezi zuia Watu kufikiri hivyo.

Kama MTU umeamua kukaa kimya NI Bora ukae kimya, kama umeamua kusema NI Bora usemè, lakini kuchagua Wakati WA kusema au kutokusema huweza kuzua mambo Kama haya ya kuhusishwa na Ukabila au Udini.
Yàani kuwa na mawe mawili ya kupimia
 
Huyu Mwaba ndiye alinifundisha siasa za kusimama kwenye ukweli.

Kwa Bahati mbaya siasa hizô NI ngumu Sana Kwa sababu nature ya watañzania wengi haihitaji Watu mfano wa Tundu Lisu.

WATANZANIA wanapenda kila Mtu awe na upande. Hawataki wale Watu walioupande WA Kwèli na HAKI
 
Angalia usije chafua linda lako...Mpina mwache ww si level yako atakupasua kichwa maana unaumiza kichwa kwa maswala yaliyo juu ya uwezo wa fuvu lako😎
 
Hata kama nakaa mtaani mimi sijakutuma uje kuniwakilisha hapa, mbona unashindwa kuielewa fact nyepesi hivi?!

Kama mnakubali hoja za Mpina ni sahihi, sasa kwanini nyie mnaleta hoja zisizokuwepo za ukanda na udini? hamjioni nyie ndio wenye matatizo?

Au wapi Mpina kwenye hoja zake amezungumzia udini, ukanda, na chuki kama nyie mlivyoamua kumjibu?

Just shut up.
 
Hakuna evidence hata kidogo, na hamna mtu Ambaye ameweza kuleta evidence ya hiyo Trilion, hata Zitto aliyeibua hizo hana evidence. Leta evidence. Kuna ndege alinunua cash na kweli ndege zipo; so what? Kwa haya ya Mpina Vs Makamba au Bashe kuna hard evidence
 
Wewe unaongozwa na ujinga na upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…