Luhaga Mpina anaongozwa na chuki na ukabila kuliko uzalendo na ukweli. Ushahidi huu hapa

Mkishikwaga pabaya, mnakujaga na hoja zisizo na mashiko kama hizi..!!
 
Mleta Uzi ningekuwa nimezaliwa Leo na kukua Leo ningekulewa lakni Kwa Sasa Hivi Kanye uchambie nguzi ulale.

Hoja za mpina hayupo mbunge Wala waziri aliye simama akazipangua tofauti na porojo hizi mnazo leta!!


Mpina anaungwa mkono na watanganyika wengi wanao umia Mali Yao kuliwa kama apple
 

CAG ndiye aliyeibua hiyo hoja
 
Huyo jamaa ni mpenzi wa mafisadi, nimekuwa nikimfuatilia kwa muda kuna wakati nahisi hiyo id yake ni yule kiumbe halisi mwenye hilo jina.

Kwasababu amefanana nae vingi kuanzia unafiki na kukalia kimya ufisadi {wakati ule wa mkataba wa DPW nilimuuliza nini maoni yake, akaanijibu hazungumzii jambo lisilo na ushahidi, nikamwambia IGA ipo, akapotea moja kwa moja}.

Tangu wakati ule, huyu mleta mada namuona ni kibaraka wa mafisadi, na ndio maana hata juzi alivyoshangilia Mpina kuondolewa bungeni binafsi sikumshangaa.
 
Chunga Mziki Dogo wahuni watapasua Spika.
 
Tuhuma ya kwamba CSR haijalipwa mpaka leo mbona hailipwi, nilitegemea kwenye hotuba ya bajeti ya Biteko angembana kwanini hatulipwi pesa za CSR ila alikua kimya. Ndio sasa nauliza kwani Makamba bado waziri? Kwanini asimbane Biteko atafute hizo pesa.

Naomba ujibu hili kwanza ndio tuendelee.
 
Ni kumuacha hivyo hivyo
 
Hata kama nakaa mtaani mimi sijakutuma uje kuniwakilisha hapa, mbona unashindwa kuielewa fact nyepesi hivi?!

Wenzako Basi wamenituma, wewe tulia kama hukunituma
Kama mnakubali hoja za Mpina ni sahihi, sasa kwanini nyie mnaleta hoja zisizokuwepo za ukanda na udini? hamjioni nyie ndio wenye matatizo?

Unashindwa kuelewa upo nchi na Dunia Ipi Mkûu?
Unajua maana ya Demokrasia?
Mpina ametumia Uhuru wake Kufichua maovu Jambo ambalo ni jema.
Lakini mtoa Mada naye Katumia Uhuru wake kumshangaa Mpina kuwa mzalendo na mfichua maovu. Swali Hapo NI "why now?"

Sasa shida yako ni MTU kutumia Uhuru wake Kutoa maonî yake Bila kuvunja Sheria

Au wapi Mpina kwenye hoja zake amezungumzia udini, ukanda, na chuki kama nyie mlivyoamua kumjibu?
Hakuna sehemu yoyote Mpina amezungumzia hayo(Ukabila na Udini) ila hoja ya mtoa Mada NI kuhusu Mawe mawili ya Mpina.


Just shut up.

Unafoka kizungu😃
 
Ishu wamepiga hawajapiga...........mengine mbele kwa mbele,,, wa dizaini hio mbona wakina Zito Kabwe wapo
 
Wapi nimesema namkubali Makamba? Mbona hata Bashe nilimtetea humu. Nachopinga ni huu unafiki kwamba akikosea January au Bashe or fisadi mwingine wa CCM inakua kesi ila akifanya msukuma mwenzake kama Biteko anakaa kimya.

Mfano IPTL ilipaswa kutulipa 2021, je waziri hakua Kalemani? Mbona hakumbana ila alipoingia January ndio akasema amehongwa.

Tuache unafiki kama tunataka kusaidia hili taifa. Double standards hazitotusaidia, Biteko leo ni waziri ila hatujalipwa CSR mpina mbona yupo kimya?
 
Biteko ameingia ofisini lini? muda wa Biteko aliokaa ofisini na Makamba aliokaa ofisini unafanana?au unamuona Biteko malaika afanye kila kitu ndani ya muda mfupi aliokaa ofisini?
Biteko amekaa mwaka mzima tayari, hatujalipwa CSRA, Hatujalipwa hela za kucheleweshewa mradi, wala IPTL haijatulipa pesa zetu ila Mpina yupo kimya analaumu tu January.

Sasa anataka January akazipambanie hizo pesa kama nani?
 
Nikushauri tu Kwa mahaba uliyonayo Kwa bwana solar eclipse omba akuoe roho Yako iridhike. Mpina ni lidude likubwa mno huliwezi wewe vingenevyo utakunya huku unatembea kama ng'ombe.
 
Biteko amekaa mwaka mzima tayari, hatujalipwa CSRA, Hatujalipwa hela za kucheleweshewa mradi, wala IPTL haijatulipa pesa zetu ila Mpina yupo kimya analaumu tu January.

Sasa anataka January akazipambanie hizo pesa kama nani?
Kwani hujawahi yasemea hayo unamsubiri mpina aseme? Punguza uharo wako
 
Kusimamia Mambo yenye maslahi mapana ya nchi ni UBINAFSI?? SUKARI,VIBALI OVYO, KUMLINDA KMULIMA WA MIWA,Kuhoji sana CAG report ni ubinafsi???
 
Wewe tangu siku ile umeshangilia Mpina kupewa adhabu ya kufukuzwa bungeni nilishajua kichwa chako ni kibovu, ni mpiga zumari wa mafisadi usie na huruma na pesa zetu watanganyika, wala usitudanganye kujiita mzalendo, hauna uzalendo wowote
Yaani unataka tumshabikie huyo fisadi wa CCM ndio niwe mzalendo? Mimi napinga unafiki miaka yote, huwezi ukawa unapinga ufisadi alafu wewe unfocused kwa January na Bashe unaacha kina Biteko na Mavunde wanaofanya makosa yaleyale.
 
Kwani hujawahi yasemea hayo unamsubiri mpina aseme? Punguza uharo wako
Ufisadi wa Ccm unafahamika kwa miaka 60 sasa, hakuna ambacho hatujasema. Mfano Mpina hajawahi kutaka ripoti ya mafisadi wa mali za CCM isomwe hadharani maana alikua waziri ila cha ajabu leo hii ndio analalamika kwanini list ile haiwekwi wazi, kama sio unafiki ni nini?
 
Kusimamia Mambo yenye maslahi mapana ya nchi ni UBINAFSI?? SUKARI,VIBALI OVYO, KUMLINDA KMULIMA WA MIWA,Kuhoji sana CAG report ni ubinafsi???
Jibu swali, waziri wa nishati ni Biteko na mpaka napoandika hapa hatujalipwa hela za CSR, IPTL wala Cost-overruns je kwanini Mpina asimhoji Biteko?
 
Nikushauri tu Kwa mahaba uliyonayo Kwa bwana solar eclipse omba akuoe roho Yako iridhike. Mpina ni lidude likubwa mno huliwezi wewe vingenevyo utakunya huku unatembea kama ng'ombe.
Nani hamuwezi si alikatwa kwenye uchaguzi wa NEC mkoa na taifa, je nini alizuia? He's a nobody kwenye siasa za nchi hii. Ni mtu anaendeshwa na chuki baada ya kunyimwa uwaziri.
 
Mpina anaeleza mambo na vielezo na Time Line, inaonyesha Biteko kaja lini hapo Wizarani na Makamba kaja lini na kakaa muda gani. Na wewe unyesha vielelezo na Time Line siyo kuleta majungu. Huna evidence kaa pembeni.
Biteko amekuja August 2023, amekaa mwaka mzima kwanini hajadai pesa za CSR au IPTL? au tumsubiri January ambaye hayupo wizarani atafute hizo pesa?
 
Nonsense, tuhuma za Mpina ni genuine hazina uhusiano wowote na mambo ya kimila, au kikanda, tuondolee hii segregation ya kizamani hapa.
Mbona hajamuita Biteko na ndio ana dhamana ya kudai pesa za CSR na IPTL? mbona mnakwepa hili swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…